Baba mwenye nyumba akipendwa na housegirl ni balaa

Baba mwenye nyumba akipendwa na housegirl ni balaa

Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe.

hiyo yote kumbania HG riziki wanawake mnakaribia bilioni 5 na nusu dunian wakati wanaume ni chini ya billion 2 bado unataka kumbania HG
 
hiyo yote kumbania HG riziki wanawake mnakaribia bilioni 5 na nusu dunian wakati wanaume ni chini ya billion 2 bado unataka kumbania HG
Akatafute wake kama anataka hiyo riziki!
 
Back
Top Bottom