Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 21, 2011 #21 Masikini_Jeuri said: Uendelee na moyo huu huu usirudi nyuma! Shida ni pale utapoanza kujisahau Click to expand... Mungu ni mwema atanisaidia nisijisahau majukumu yangu kwa baba watoto wangu
Masikini_Jeuri said: Uendelee na moyo huu huu usirudi nyuma! Shida ni pale utapoanza kujisahau Click to expand... Mungu ni mwema atanisaidia nisijisahau majukumu yangu kwa baba watoto wangu
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 290 Oct 21, 2011 #22 Cantalisia said: Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe. Click to expand... hiyo yote kumbania HG riziki wanawake mnakaribia bilioni 5 na nusu dunian wakati wanaume ni chini ya billion 2 bado unataka kumbania HG
Cantalisia said: Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe. Click to expand... hiyo yote kumbania HG riziki wanawake mnakaribia bilioni 5 na nusu dunian wakati wanaume ni chini ya billion 2 bado unataka kumbania HG
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 21, 2011 #23 mojoki said: hiyo yote kumbania HG riziki wanawake mnakaribia bilioni 5 na nusu dunian wakati wanaume ni chini ya billion 2 bado unataka kumbania HG Click to expand... Akatafute wake kama anataka hiyo riziki!
mojoki said: hiyo yote kumbania HG riziki wanawake mnakaribia bilioni 5 na nusu dunian wakati wanaume ni chini ya billion 2 bado unataka kumbania HG Click to expand... Akatafute wake kama anataka hiyo riziki!