Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Nilikuwa Nacheck game ya Simba kwa baba mwenye Nyumba ambaye ni shabiki wa Utopolo FC. Nimeshindwa kushangilia maana baada ya goli nimeonekana na uso wa tabasamu,
Mara nikamwona kasimama kaingia chumbani na kurudi na karatasi na kalamu Sijui alikuwa anataka kubeti lakini anasema ana ujumbe wangu anataka kuniona sijui ni upi?
🤦🤪🏃
Mara nikamwona kasimama kaingia chumbani na kurudi na karatasi na kalamu Sijui alikuwa anataka kubeti lakini anasema ana ujumbe wangu anataka kuniona sijui ni upi?
🤦🤪🏃