Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuhusu Banana Republic ya Bongo, ambayo imejaa baadhi ya watu wabinafsi na wenye kujipendekeza mpaka wanatia kinyaa na kuwa tayari kutetea kila jambo linalofanywa na huyo wanaemuona kwao ni kama Mungu Mtu kisa tu ana nafasi ya kuweza kuwafanya waishi vizuri japo ni kwa muda tu.
Kwa kifupi, watu hawa ni kikundi cha watu wachache wanaonufaika na mfumo uliopo au wenye matazamio ya kuja kunufaika na mfumo huo iwapo watamfurahisha mfalme ikiwa ni pamoja na kutetea kila alifanyalo hata liwe baya au la hovyo kiasi gani.
Hivyo,kuna uwezekano mkubwa wa watu hawa kuunga mkono maamuzi yoyote ya mfalme hata akisema watu watandikwe risasi hadharani mradi tu wao wapate wanachokitaka.
Inaboa mno.