Baba mwenye nyumba hata akiagiza watu wapigwe risasi hadharani bado atapata watetezi tu

MI naamini hata akiagiza wake/wives wa hao hao watetezi wachapwe bakora kwa sababu hawana chura; amini usiamini, hao hao wataanza kuwasemanga wake zao "sasa waifu si umejitakia mwenyewe kutokuwa na chura"
Nimecheka sana hii comment
 
Sawa ila kwenye Corona tuache na magufuli[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Hata akimchukua mkeo we mpe tu bwege wewe eti apigwe risasi kisa nini?Unaijua risasi ikitoka we mbuzi?
Hivi huwa mnaandika vitu vichwani kwenu mnakua na mav**I au.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…