Baba mzazi,Djaro Arungu

Baba mzazi,Djaro Arungu

Huyu mwamba huwa nampenda sana nimeanza kumfatilia 2005 kipindi chake kilikuwa kinaitwa radha za afrika mashariki.

Kulikuwa na kawimbo flani ka chief meka kanaitwa "pata radha za afrika mashariki na dijaro amekonka mashabiki why akiwa mtamboni utakubali hewani."

Kama nimekosea nirekebishwe. Nikikumbuka ilikuwa ikifika samoja usiku nilikuwa sibanduki kwenye kipindi.kipindi hicho niko sekondari.


Baadae akabadiri jina la kipindi akaita papaso. Nilikuwa napenda segment ya simulizi za papaso. Sijui bado zipo alikuwa na mtunzi wake wa simulizi anaitwa GEORGE AYANI MOSENYA .Na msoma simulizi aliitwa HILALI ALEKZANDA LUHUNDWA.

Da ilikuwa burudani sana mwambs alikuwa anapenda kupiga ngoms za wasanii wa kwao hasa best naso enzi za tuma na mamu wa dar ,nipe nafasi
 
Back
Top Bottom