Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani malaya mmoja ndo kakufanya uje na hilo hitimisho? Huyo Maggie alikuwa mwingi tu asietulia kwa mtu mmoja anataka dude zote ziwe zake na John alionekana baada ya kujipata, ndo maana wanauliwa wanaume wengine huwezi wafanyia huo ushenzi, wahusika wa kiume karibia wote walipiga, huoni km hilo ni gumegume
Ukiwa kicheche hata mama mwenyewe unaweza usimjue nani baba wa mtoto! Hata huyo John sio baba mtoto,Sijafanya hitimisho kua wote wako hivyo ila ukiachana na DNA mama ndio ananafasi kubwa ya kujua huyu mtoto ni wa nani.
Kuna visa vingi mwanaume ukiwa na hela haya majukumu unapewa kirahisi. Sema hichi kimezidi. Kuna uwezekano kuna ambao siwajui.
Mimi pia nahisi huyo John sio baba wa mtoto ila nimechukua maneno yake kama ndio taarifa rasmi.Ha
Ukiwa kicheche hata mama mwenyewe unaweza usimjue nani baba wa mtoto! Hata huyo John sio baba mtoto,
Kuna mwanamke namfahamu alipataga mimba miaka km 10 iliyopita hakujua nani muhusika mpk mtoto alipozaliwa na akajua baba ni yupi!
Nyingine ilitokea Uganda mwanamke kapata mapacha wa baba tofauti!!!Mimi pia nahisi huyo John sio baba wa mtoto ila nimechukua maneno yake kama ndio taarifa rasmi.
At least mama anajua asilimia 100 mtoto ni wa kwake, hii kwa baba haipo.
Uko sahihi mkuuNyingine ilitokea Uganda mwanamke kapata mapacha wa baba tofauti!!!
Story yako demu ni cha wote huhitaji kukaza sana, tabia yake usiijumuishe kwa wote na kutupa utukufu usiokuwepo, mtoto ni wa mama mara mama ndo ajuae baba wa mtoto bla bla blaàa hamna kitu visingizio vya umalaya tu