Baba Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Uganda asema mwanaye alipewa SUMU iliyosababisha kifo chake

Mbona una wasiwasi..
Kwani bado kuna utekaji awamu hii?!
 
Mchango wa Ndugai kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli hata akifanyiwa uhayawani ni sawa tu, ili ajue malipo ni hapa hapa.

ukipigwa shavu la kushoto unapaswa kugeuza na kulia, pia tunaambiwa tusamehe saba mara sabini..
 
Mchango wa Ndugai kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli hata akifanyiwa uhayawani ni sawa tu, ili ajue malipo ni hapa hapa.
Siku zote hua nafikiri wewe ni muumini wa haki kumbe hua nakosea, uko kama wale ila uko upande mwingine wa mto[emoji1][emoji1]
 
Siku zote hua nafikiri wewe ni muumini wa haki kumbe hua nakosea, uko kama wale ila uko upande mwingine wa mto[emoji1][emoji1]

Huwa sitetei haki kwa wenye viburi vya madaraka.
 
Yote tisa
Kwenye msiba huo leo tent limeezuliwa na upepo likabaki jeneza tu pale
Mapambo yote rushwa pembeni
Ss sijui inamaanisha nini
 
Kama alishiriki kukandamiza upinzani amevuna
 
Duuuh from Omoro District Uganda, mida ya alasiri leo
 
Wamekuunganisha tayari ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…