Baba na Binti

duuh, hii kali sana sijui kafikiria nini mpaka katoa jibu hilo!!!!!!!!!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Asee kumbe ndio maana kuna siku nilikuwa nasema dad jamaa yangu akasema asee hiyo ime kaa ki kike kike, mi nikajua hajui lugha tu.
Asee siji kuita tena, ntakuwa na sema hata papaa tu. Au father yenyewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dad kwa ke tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…