BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 4, 2011 #1 Hodi Kwanza humu JF! Ingawa ni mgeni, Lakini ni msomaji mzuri wa mada nyingi hapa JF! Mada nyingi zinazowahusu wanandoa huwa haziwafikirii watoto. Kina Baba, kina Mama Pendaneni, na muaminiane, msipokuwa hivyo watoto wanakosa malezi bora!. Bye!
Hodi Kwanza humu JF! Ingawa ni mgeni, Lakini ni msomaji mzuri wa mada nyingi hapa JF! Mada nyingi zinazowahusu wanandoa huwa haziwafikirii watoto. Kina Baba, kina Mama Pendaneni, na muaminiane, msipokuwa hivyo watoto wanakosa malezi bora!. Bye!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Nov 4, 2011 #2 Da umeruka sebule mpaka chumbani...................lakini umenena kweli; masikini malaika hawa!
M Malova JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 784 Reaction score 228 Nov 4, 2011 #3 karibu jamvini