Baba na Mama: Kwanini hamuaminiani!!

Baba na Mama: Kwanini hamuaminiani!!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Hodi Kwanza humu JF!

Ingawa ni mgeni, Lakini ni msomaji mzuri wa mada nyingi hapa JF!

Mada nyingi zinazowahusu wanandoa huwa haziwafikirii watoto. Kina Baba, kina Mama Pendaneni, na muaminiane, msipokuwa hivyo watoto wanakosa malezi bora!.

Bye!
 
Da umeruka sebule mpaka chumbani...................lakini umenena kweli; masikini malaika hawa!
 
Back
Top Bottom