Baba na mwana

Status
Not open for further replies.
Uko sure ni baba na mtoto wake?

Au mtu na demu wake.
 
Hapana. Mi hata sithubutu kuweka mazoea ya ukaribu sana na binti yangu wa miaka 7. Mi kauzungu kangu ni ka kuitwa daddy badala ya baba. Najiona bonge la mjanja uswahilini na kijijini
Hongera sana kwa hilo.
Ila acha pia huo uzungu wa kuitwa daddy[emoji6]
 
Hongera sana kwa hilo.
Ila acha pia huo uzungu wa kuitwa daddy[emoji6]
Kulipia ada English medium schools si mambo ya kitoto ujue. Acha niitwe daddy nami nionekane wa kishua bhana LOL

Juzi kati hapa toto langu si likaanza kunisemesha kifaransa wakati mi hata cha kuombea maji sijui... nikamalizana naye kwa mkwala..."hey master kwanza english yako ndo tuhamie kifaransa"...baba wa kiafrika hapendi kuonekana hajui hahaha
 
Naunga Mkono hoja..
Hapana. Mi hata sithubutu kuweka mazoea ya ukaribu sana na binti yangu wa miaka 7. Mi kauzungu kangu ni ka kuitwa daddy badala ya baba. Najiona bonge la mjanja uswahilini na kijijini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…