Baba na mwana

Baba na mwana

Status
Not open for further replies.
Ukikutana na wabongo waliolelewa maisha ya kiswahili lazima hii iwe ajabu

Ukikutana na wenye malezi yao,wale wakuvaa bikini mbele ya mtoto atakushangaa

sana akikuona unashangaa hizo picha,tufupishe story hebu 'hapo shida ipo kwetu waswahili'

waacheni wazungu waishi watakavyo,wewe ukijiona hii ngumu kumeza Pita kimya kimya..

i call it Pure Love
Hao wenye malezi yao ni akina nani mkuu?

Sent using mazonge yamezidi
 
Mkuu nipo tofauti na wewe kidogo, kwanini tulee watoto wetu kma wazungu ilihali sisi ni waafrika? kwanini mzungu halei mtoto wake kma mwafrika? Mbona wahindi wanamiaka kibao huku kwetu lkn wanalea watoto wao kwa culture ya kwao sisi weusi tuna shida sehemu
Ukikutana na wabongo waliolelewa maisha ya kiswahili lazima hii iwe ajabu

Ukikutana na wenye malezi yao,wale wakuvaa bikini mbele ya mtoto atakushangaa

sana akikuona unashangaa hizo picha,tufupishe story hebu 'hapo shida ipo kwetu waswahili'

waacheni wazungu waishi watakavyo,wewe ukijiona hii ngumu kumeza Pita kimya kimya..

i call it Pure Love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni nini sidhan kama kulikua na haja ya kupiga picha
Mama ndo kaipiga hii picha au ni kakakee?? Sidhani ka ni haki imetendeka kwa huyo binti. Hata ka ni mapenzi kwa mwanangu hapo ni zaidi na amevuka mpaka. Mamake atapewa nini tena!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom