Hao wenye malezi yao ni akina nani mkuu?Ukikutana na wabongo waliolelewa maisha ya kiswahili lazima hii iwe ajabu
Ukikutana na wenye malezi yao,wale wakuvaa bikini mbele ya mtoto atakushangaa
sana akikuona unashangaa hizo picha,tufupishe story hebu 'hapo shida ipo kwetu waswahili'
waacheni wazungu waishi watakavyo,wewe ukijiona hii ngumu kumeza Pita kimya kimya..
i call it Pure Love
Hao wenye malezi yao amewaona peke yake au wapo na sisi tuwaone hahaha.Basi Brother..[emoji4] yaishe kila mtu abaki na Mtizamo wake...ila kiafrika iyo sio sawa
Kwamba mtoto kajamba ama sijaelewa?mara mtoto kaudusu kwa sauti, baba tafumilia au tacheka?
Nipo kwenye foleni kuunga juhudi za wenye malezi yao.Sawa kabisa bwana mzungu. Naunga mkono hoja
ndiondio mkuu kama ulivyotanabaisha
Aisee!!!Mtoto wa kike anastahili Mapenzi ya Baba, binafsi hata massage ntamfanyia.
Usipompa mapenzi unamchagulia Dunia mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna shida ila kwakuwa tabia za Baba zina utata ndio maana watu wanakuwa hawana imani na hayo maisha kama yanaweza kuwa na usalama...
Ukikutana na wabongo waliolelewa maisha ya kiswahili lazima hii iwe ajabu
Ukikutana na wenye malezi yao,wale wakuvaa bikini mbele ya mtoto atakushangaa
sana akikuona unashangaa hizo picha,tufupishe story hebu 'hapo shida ipo kwetu waswahili'
waacheni wazungu waishi watakavyo,wewe ukijiona hii ngumu kumeza Pita kimya kimya..
i call it Pure Love
Mama ndo kaipiga hii picha au ni kakakee?? Sidhani ka ni haki imetendeka kwa huyo binti. Hata ka ni mapenzi kwa mwanangu hapo ni zaidi na amevuka mpaka. Mamake atapewa nini tena!!!!!
Hao wenye malezi yao amewaona peke yake au wapo na sisi tuwaone hahaha.
Kwamba anawajua sana wenye malezi yao kuliko woote humu si ndio? Daaaahh JF bhana hahaaa.
Sent using mazonge yamezidi
Mama ndo kaipiga hii picha au ni kakakee?? Sidhani ka ni haki imetendeka kwa huyo binti. Hata ka ni mapenzi kwa mwanangu hapo ni zaidi na amevuka mpaka. Mamake atapewa nini tena!!!!!
Nadhani ni mamake alitaka kutuomba tumkanye bintiye kuwa sasa kazidiHata kama ni nini sidhan kama kulikua na haja ya kupiga picha
Hahaha kwa mikao hiyo ..haswaa huo wa kitandani ... Itakuwa ana mla tu
Sent using Jamii Forums mobile app