Pre GE2025 Baba Shadrack Chaula (aliyechoma picha ya Rais) aiomba serikali kutoa taarifa za mwanaye kama wemeshikilia ili wawe na amani

Pre GE2025 Baba Shadrack Chaula (aliyechoma picha ya Rais) aiomba serikali kutoa taarifa za mwanaye kama wemeshikilia ili wawe na amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Kama ni Waislamu nawashauri wasome hitima kisha washukuru Mwenyezi Mungu wapumzike.
 
Ukimaanisha nini Mkuu?
To every action there is equal but in opposite directions....

Usitegemee ulete action alafu usahau kuwa kuna reaction tena inakuja opposite sio vile ulivotegemea.

Huyo ni Sir Isaack Newton.. alisema hiyo katika zile law zake tatu zinaitwa Newton law of motion...
 
Wakuu,

Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani na yuko gereza gani ili wawe na amani kuwa mtotobwao ni mzima na wafanye taratibu nyingine za kumrudisha nyumbani.

View attachment 3141010

Pia soma: Baba Chaula: Nimepigiwa simu na namba ngeni, kaniambia nitoe Tsh. Milioni 3 ili Chaula apatikane
Hapo hakuna kitu washammaliza
 
Back
Top Bottom