kabisa yani sema tumesahau sana tamaduni zilizotukuzaAfu ianze nyakua kila aliyehusika kumpoteza 🫢🫢
To every action there is equal but in opposite directions....Ukimaanisha nini Mkuu?
Hapo hakuna kitu washammalizaWakuu,
Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani na yuko gereza gani ili wawe na amani kuwa mtotobwao ni mzima na wafanye taratibu nyingine za kumrudisha nyumbani.
View attachment 3141010
Pia soma: Baba Chaula: Nimepigiwa simu na namba ngeni, kaniambia nitoe Tsh. Milioni 3 ili Chaula apatikane