Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi

Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Tuna la kujifunza hapa.

Mageuzi ya Gen Z hayakuleta mafanikio yoyote.

Shida ni nini? Maana hawa hadi kuandamana waliandamana.

Utekaji/kupotea kwa watu kumekithiri saana Africa Kenya, Tanzania, DRC, South Africa, Niger , Botswana hii ni mifano sometimes taarifa.

Mfano Niger zaidi ya watu 500 wamepotea ndani ya siku 6.

Serikali inahusika kulinda usalama wa raia.... binafsi naona tusiishie kuzilaumu serikali tu. Je, hawa watu wote ni kweli wanapotezwa na vyombo vya dola tu!!!
 
R.i.P Classmate....😥
Alikua mtu wangu wa karibu sana dahhhhh......😪
 
Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi.

Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa


njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na:

Screenshot_20250306-183123_1.jpg


Kwenu mkiita kifo ni kifo tu.

Shame on you!
 
Back
Top Bottom