Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi.
Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa
Waeleze waliojinadi kuwa walifiiriwa hapa Bongo, kuwa walitakiwa kwanza wahakikishe kwao hakuna vitu kama Hivi ndipo waje TZ. Unazima moto kwa jirani wakati kwako ni majivu.njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na:
View attachment 3364746
Kwenu mkiita kifo ni kifo tu.
Shame on you!