Baba wa demokrasia agoma kufungulia vyombo vya habari,umoja wa ulaya wa laani.

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi

Baada ya serikali majuzi kufungia vituo vya television vilivyokuwa vimepanga kurusha tukio la kihuni la kikundi cha RAO kujiapisha mahakama ilitoa amri kwa vituo hivyo kufnguliwa mara moja lakini hadi leo Baba wa demokrasia amegoma kabisa...

Ikumbukwe kwamba kuwa uhuru amekuwa akisifiwa sana kuwa ni baba wa demokrasia hapa africa lakini kitendo chake cha kuendelea kugomea na kukaidi agizo la mahakama imeendelea kuwatia shaka walio kuwa wanamuita Baba wa demokrasia baada ya kuruhusu uhuni wa RAO.

Wengi walimsifu Uhuru kwa kuruhusu kile kitendo lakini wachache tulijua ilikuwa danganya toto tuu na ndio maana hadi sasa walio husika wana kamatwa mmoja mmoja na aliyebaki ni Odinga kwani hakuna nchi inaweza ruhusu maigizo kama yale lakini sasa uhuru ameanza kuonesha ngozi yake halisi......
 
Siasa za muafrika hazina tofauti aso hili ana lile
 
Mtoto wake Moi pia kasema vifungulie. Mkikuyu sio mtu waku sipotisipoti. Tunamtoa kwa bundiki kenge hoyo
 
Kama list of shame waliifungia maandazi,unafikiri watashindwa kumbadilishia Uhuru gia angani!?
 
Mmh uko nako kuna udikteta uchwala Kama bongo
 
Potezeni muda wenu kwenye maswala ya nchi yetu tukufu ya Kenya. Ila msije mkasahau kuiangazia macho nyumba yenu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…