Hivi kumbe huwa una adabu kiasi hiki..!
Pole sana sikujua kama uko sensitive na followers wako kiasi hiki, kila utendalo jf ujue linakuwa na athari(+&-) so nilikuwa nakuona mdada fulani Gwangala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiii neno dogo limetikisa hadi maini aisee kumbe sinaga adabu
Labda angelitulizana angepata wakumstiri, hata majizo angeweza kujirudi wakalea mtoto ila kwa sasa asipoolewa na mond atabaki kudanga tuHapo nami ndo najiuliza sana sijapti majibu,,,kachemka sana uyu sister ingawa yy anajiona mjanja
Pole sana sikujua kama uko sensitive na followers wako kiasi hiki, kila utendalo jf ujue linakuwa na athari(+&-) so nilikuwa nakuona mdada fulani Gwangala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda angelitulizana angepata wakumstiri, hata majizo angeweza kujirudi wakalea mtoto ila kwa sasa asipoolewa na mond atabaki kudanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri nimeamua kurudisha moyo revansi..![emoji774]Hahahhaa no problem,kuna saa mzaha pembeni ila saa nyingine mzaha mbele.
Mungu amfungue akili huyu binti na sidhani kama mtoto akifikisha miaka8 majizzo ataendelea kumlipia nyumba na huduma nyingine... huku abdul kakataliwa yaani ana mtihaniHata akiolewa na dai,ndoa haitadumu,bidada anapenda mashauzi ya kishamba,jobless ila maisha ya kuonekana matawi anayapenda sasa huo mzigo sidhan kama dai atauweza na wivu mwingi,usiri ziro
Kwani Hamisa ulickia kazungumzia nini kuhusu Mtto wake au mashabik ndo wana ongea kila kukicha yeye yuko kimya na km kweli kazaa na Mond co kosa ht Zari co mkewe wote watenda zambiHivi hamisa kaona mtoto ndio wa kumpaisha kiumaarufu au chanzo cha mapato. Daah wamama wa siku hizi bure kabisa. Mtoto mdogo hata mwezi hana anatukanwa matusi mazito kisa kutafuta followers wengi na umaarufu khaaa!
Mungu amfungue akili huyu binti na sidhani kama mtoto akifikisha miaka8 majizzo ataendelea kumlipia nyumba na huduma nyingine... huku abdul kakataliwa yaani ana mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Atadanga mpaka iote sugu [emoji1]Majizo akimuoa tu lulu,hamisa ataisoma namba kwenye matunzo ya mtoto
Mwisho atazaa na chidy BenzHuyo binti ni mpuuzi
Umejibebesha mimba ya singleboy mtoto wa kwanza baba kakukacha.
Unafungua tena uzazi unazaa na mwanaume mwenye familia ambayo ulimwengu mzima unaijua, baba anakukataa wewe na mtoto unangangania na kulazimisha utambulike
Kama alishindwa kumstiri yule aliyekuwa free ataweza kustiriwa na huyu mwenye familia??
Wanaomsifia ujinga ni wapumbaavu wenzie
Anajitengenezea mazingira ya kuchina na kuwa nungayembe.
Nani atakubali kubeba/kuoa mama wa watoto wawili wenye baba tofauti???
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Connor mzima?
Kwani Hamisa ulickia kazungumzia nini kuhusu Mtto wake au mashabik ndo wana ongea kila kukicha yeye yuko kimya na km kweli kazaa na Mond co kosa ht Zari co mkewe wote watenda zambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho atazaa na chidy Benz
Hivi ni mpaka mtu aongee ndio ufahamu msimamo wake??Kwani Hamisa ulickia kazungumzia nini kuhusu Mtto wake au mashabik ndo wana ongea kila kukicha yeye yuko kimya na km kweli kazaa na Mond co kosa ht Zari co mkewe wote watenda zambi
Sent using Jamii Forums mobile app
na anategemea zari aachike aolewe yeyeWanawake Wenyewe Hampendani Wala Kujaliana Acha Sisi Tuwatumie Tu Jamani Hawa Ni Kwa Ajili Yetu Hamisa Anajua Diamond Ana Mke Bado Aliachia Hakuna Namna Nikuwala Tu