Baba wa Diamond atoa baraka kwa mjukuu wake mpya

Baba wa Diamond atoa baraka kwa mjukuu wake mpya

Uwiiii neno dogo limetikisa hadi maini aisee kumbe sinaga adabu
Pole sana sikujua kama uko sensitive na followers wako kiasi hiki, kila utendalo jf ujue linakuwa na athari(+&-) so nilikuwa nakuona mdada fulani Gwangala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawahurumia sana hawa watoto, watakuja kupata msongo wa mawazo sana huko ukubwani
 
Hahahhaa no problem,kuna saa mzaha pembeni ila saa nyingine mzaha mbele.
Pole sana sikujua kama uko sensitive na followers wako kiasi hiki, kila utendalo jf ujue linakuwa na athari(+&-) so nilikuwa nakuona mdada fulani Gwangala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata akiolewa na dai,ndoa haitadumu,bidada anapenda mashauzi ya kishamba,jobless ila maisha ya kuonekana matawi anayapenda sasa huo mzigo sidhan kama dai atauweza na wivu mwingi,usiri ziro
Labda angelitulizana angepata wakumstiri, hata majizo angeweza kujirudi wakalea mtoto ila kwa sasa asipoolewa na mond atabaki kudanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake Wenyewe Hampendani Wala Kujaliana Acha Sisi Tuwatumie Tu Jamani Hawa Ni Kwa Ajili Yetu Hamisa Anajua Diamond Ana Mke Bado Aliachia Hakuna Namna Nikuwala Tu
 
Hata akiolewa na dai,ndoa haitadumu,bidada anapenda mashauzi ya kishamba,jobless ila maisha ya kuonekana matawi anayapenda sasa huo mzigo sidhan kama dai atauweza na wivu mwingi,usiri ziro
Mungu amfungue akili huyu binti na sidhani kama mtoto akifikisha miaka8 majizzo ataendelea kumlipia nyumba na huduma nyingine... huku abdul kakataliwa yaani ana mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamisa kaona mtoto ndio wa kumpaisha kiumaarufu au chanzo cha mapato. Daah wamama wa siku hizi bure kabisa. Mtoto mdogo hata mwezi hana anatukanwa matusi mazito kisa kutafuta followers wengi na umaarufu khaaa!
Kwani Hamisa ulickia kazungumzia nini kuhusu Mtto wake au mashabik ndo wana ongea kila kukicha yeye yuko kimya na km kweli kazaa na Mond co kosa ht Zari co mkewe wote watenda zambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo binti ni mpuuzi
Umejibebesha mimba ya singleboy mtoto wa kwanza baba kakukacha.
Unafungua tena uzazi unazaa na mwanaume mwenye familia ambayo ulimwengu mzima unaijua, baba anakukataa wewe na mtoto unangangania na kulazimisha utambulike
Kama alishindwa kumstiri yule aliyekuwa free ataweza kustiriwa na huyu mwenye familia??
Wanaomsifia ujinga ni wapumbaavu wenzie
Anajitengenezea mazingira ya kuchina na kuwa nungayembe.
Nani atakubali kubeba/kuoa mama wa watoto wawili wenye baba tofauti???
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho atazaa na chidy Benz
 
Hizi ni kauli za michepuko,hata kama zari sio mke hamisa angejiongeza,mwanaume anakukana kila siku bado umo tuuu hii ina maana ataendelea kuwa side dish sio main menu.mwenzie ananunuliwa nyumba matunzo ya juu,yeye kakalia kuforce mahusiano mtandaoni kama kupe vile

Kule insta,ukicomment sehemu kusema mtoto ni wa majizo au mwanaume mwingine unakula block toka kwa hamisa ila ukisifia wa diamond anacomment kwa furaha kama sio ukicheche ni nn. Hajasema ila matendo yake yanaongea
Kwani Hamisa ulickia kazungumzia nini kuhusu Mtto wake au mashabik ndo wana ongea kila kukicha yeye yuko kimya na km kweli kazaa na Mond co kosa ht Zari co mkewe wote watenda zambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siamini mtu mwenye akili timamu analeta kiumbe duniani bila ya kujua anataka nini katika kiumbe hicho.. tunaathiri watoto kisaikolojia halafu tunategemea generation yenye maadili Mungu atusaidie kwa kweli..

zari namuona hana haja hata ya kuona tatizo maamuzi ni yake
 
Kwani Hamisa ulickia kazungumzia nini kuhusu Mtto wake au mashabik ndo wana ongea kila kukicha yeye yuko kimya na km kweli kazaa na Mond co kosa ht Zari co mkewe wote watenda zambi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni mpaka mtu aongee ndio ufahamu msimamo wake??
Kosa la kuzaa hovyo ataliona baada ya matokeo
Yatakuja mkuta mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom