Baba wa Kambo, Mzimu wa Kambo

Baba wa Kambo, Mzimu wa Kambo

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

ANGALIZO:
Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili;
Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu, waliobambikia Wanaume Watoto wasio waô.

Pili, Viongozi wa Kidini na wale wasioamini Mambo ya Mizimu na mîungu. Kwa namna hiyo Basi, Ikiwa hutaki kukereka, kuumizwa kihisia au kiroho, au Ikiwa hautaki kubadili mtazamo na Imani uliyonayo Sasa hivi. Au Ikiwa ulimbambikia Mwanaume Mtoto asiyewake. Au Ikiwa wewe ni Atheist, Basi NI Vizuri kuachia Hapa kusoma, kuendelea kusoma itahesabika kero uliyojitengenezea wewe mwenyewe na Wala Mimi sitakuwa sehemu ya Kero au changamoto yoyote itakayokupata.

Ni Yule Mtibeli Kutoka Ñyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili, irukayo Kutoka ulimwengu mmoja kuelekea ulimwengu Mwingine.

Hakuna Mtu àmbaye utaomba Msaada wa haraka akakupa zaidi ya Wazazi wako na ndugu zako. Hawa ndîo wanaweza kukupa msaada wa haraka Sana. Hasahasa Mzazi aliyekuzaa.

Nature imetoa fursa na kuweka Kanuni ya mvutano weñye Ñguvu Kwa Watu wanao-share vinasaba, yàani damu.

Kûna Mungu na mîungu. Mungu NI mmoja aliyeumba mîungu.
Mîungu Ipo mingi. Hata Wazazi na Wazee waliotutangulia NI sehemu ya Mîungu. Ingawaje Hawana Ñguvu kûbwa kama Mungu Mkûu.

KIMWILI,
Huwezi Ukawa Mtoto wa Kambo alafu Baba wa kambo akajitoa Sana kwako Kuliko anavyojitoa Kwa Watoto wake aliowazaa. Kikanuni na kiasili Jambo Hilo halipo. Mzazi atamsaidia zaidi Mtoto wake kuliko atakavyomsaidia Mtoto wa Kambo.
Mtoto WA kambo ni Mtoto WA kambo tuu. Hawezi kubadilika akawa Mtoto wako hata ungefanya kitu gàni. Hiyo inafahamika.
Kimwili.

Mtu hawezi kuacha kumsaidia Mzazi wake alafu akasaidia Wazazi wa Wengine, hiyo haipo kikanuni na siô Asili. MTU atasaidia Wazazi wake Kwanza ñdipo asaidie Wazazi wa Wengine.

Hiyo Ipo vivyohivyo Kiroho:

Kiroho;
Huwezi ukaomba Msaada Kwa Mizimu ya Kambo itakusaidia kuliko àmbavyo ungeomba katika Mizimu ya kwenu. Mizimu ya Kambo haiwezi Acha kusaidia Watoto na kizazi chao ije Ikusaidie wewe àmbaye haupo hata kwèñye Database ya vinasaba vyao.

Unaweza usinielewe vizuri lakini tutaelewana.

Kûna wanaoabudu Mungu wa Ibrahim, na Mizimu ya kina Ibrahim. Ukweli NI kuwa haitakuja kutokea Mizimu ya Ibrahim, Isaka na Yakobo Ikusaidie kuliko itakavyosaidia Wayahudi, Waishmael, Wapalestina, wajordan, na waarabu.

Mizimu hiyo itasaidia Kwanza Watoto wake ndipo Yale Makombo ndîo Wapewe Watoto wakambo. Hii NI kusema, Kamwe Waafrika, na Watu wôte wanaoitumainia Mizimu ya kiebrania hawawezi kuwashinda Wayahudi, na waarabu Kwa maendeleo. Hii NI kusema, Watakuwa watumwa au Daraja la pili mbele ya jamii hizô.

Mtoto wa Kambo NI Mtoto WA kambo tuu. Na Baba wa kambo atabaki kuwa Baba WA kambo.

Bahati nzuri, kiroho Hakuna uongouongo na ulaghai. Kiroho kîla Jambo hubakia sehemu yake, na kîla mkondo hufuata mkondo wake.

Wanawake weñye Akili hujua umuhimu wa Mtoto kumjua Babaake Halisi. Hata kama atakuwa amemrubuni Mwanaume Kwa kumbambikia lakini Ipo Siku atatafuta Siku amweleze Ukweli Mtoto kuwa, Baba yako halisi NI Fulani.

Hii kimwili inaweza Kuzua tafrani, lakini kiroho hujenga msingi na mfumo wa Mtoto kupewa Msaada.

Mtoto àmbaye hajui Mzazi wake halisi, NI Mtoto ambaye hawezi kupata msaada wa Kiroho. Kwa sababu atakuwa mtumwa kiroho wa mîungu Wengine.

NI Sawasawa na mtoto aliyetupwa vichakani akaokolewa na kulelewa na Watu wasiowazazi wake.
Itakuwa Roho yenye kutangatanga.

Unakuta Mtoto Baba yake halisi ni Msukuma, lakini Mama kambambikia Mchagga. Mtoto anapofanya Dua au Maombi uchaggani, mîungu, na Dola za kiroho za uchaggani zinakuwa hazina tàarifa za mtoto Husika, zinakuwa hazimtambui.

Mtu anapokufa, anaenda kukusanyika na familia, ûkoo na falme Yake kiroho. Sasa Mama alidanganya akambambikia Mwanaume Mtoto asiyewake, Mtoto kiroho ni Msukuma lakini kimwili walidanganya NI Mchagga. Akazikwa na kusajiliwa kichaga kimwili akifa, akienda uchaggani anajikuta katika Hali ngumu zaidi, hatambuliki siô uchaggani Wala siô usukumani. Hapo ñdipo ukisikia Roho zinazotanga tanga n kutaabika.

Roho hizô hazipumzikagi Kwa sababu zinakosa utawala, falme ya kuwaongoza.

Ieleweke kwamba, Maisha ya kimwili yanafanana na Maisha ya kiroho Kwa asilimia kûbwa.

Kutengwa Kiroho, yàani umekufa kimwili lakini ûkienda kiroho katika falme za rohoni, unakuwa mkimbizi Huna Makao.

Mtu anapokufa kimwili huzaliwa Kiroho. Falme za rohoni zinakuwa na tàarifa kuwa Fulani Leo anakuja, hivyo zinaandaa mazîngira ya kukupokea.

Yàani kwa Mfano, Mimi Taikon ndiye Robert Siku nikifa KIMWILI, nazaliwa katika ufalme wa rohoni, Wazee na mababu zangu waliotangulia wanataarifa za ujio wangu.

Kwèñye ufalme wa Roho Huona dalili zote za ujio wako Huko falme za kiroho, kama vile unavyoona dalili ya mwanamke mjamzito akikaribia Kujifungua ndivyo waliopo falme za roho waonavyo dalili za Siku yako ya kufa kimwili na kuzaliwa katika ulimwengu waô.

Kuzikwa familia yàani Mke na Mume na Watoto, na ûkoo mmoja hurahisisha Baadhi ya ishu katika falme za Kiroho.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

ANGALIZO:
Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili;
Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu, waliobambikia Wanaume Watoto wasio waô.

Pili, Viongozi wa Kidini na wale wasioamini Mambo ya Mizimu na mîungu.
Kwa namna hiyo Basi, Ikiwa hutaki kukereka, kuumizwa kihisia au kiroho, au Ikiwa hautaki kubadili mtazamo na Imani uliyonayo Sasa hivi. Au Ikiwa ulimbambikia Mwanaume Mtoto asiyewake. Au Ikiwa wewe ni Atheist, Basi NI Vizuri kuachia Hapa kusoma, kuendelea kusoma itahesabika kero uliyojitengenezea wewe mwenyewe na Wala Mimi sitakuwa sehemu ya Kero au changamoto yoyote itakayokupata.

Ni Yule Mtibeli Kutoka Ñyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili, irukayo Kutoka ulimwengu mmoja kuelekea ulimwengu Mwingine.

Hakuna Mtu àmbaye utaomba Msaada wa haraka akakupa zaidi ya Wazazi wako na ndugu zako. Hawa ndîo wanaweza kukupa msaada wa haraka Sana. Hasahasa Mzazi aliyekuzaa.

Nature imetoa fursa na kuweka Kanuni ya mvutano weñye Ñguvu Kwa Watu wanao-share vinasaba, yàani damu.

Kûna Mungu na mîungu. Mungu NI mmoja aliyeumba mîungu.
Mîungu Ipo mingi. Hata Wazazi na Wazee waliotutangulia NI sehemu ya Mîungu. Ingawaje Hawana Ñguvu kûbwa kama Mungu Mkûu.

KIMWILI,
Huwezi Ukawa Mtoto wa Kambo alafu Baba wa kambo akajitoa Sana kwako Kuliko anavyojitoa Kwa Watoto wake aliowazaa. Kikanuni na kiasili Jambo Hilo halipo. Mzazi atamsaidia zaidi Mtoto wake kuliko atakavyomsaidia Mtoto wa Kambo.
Mtoto WA kambo ni Mtoto WA kambo tuu. Hawezi kubadilika akawa Mtoto wako hata ungefanya kitu gàni. Hiyo inafahamika.
Kimwili,
Mtu hawezi kuacha kumsaidia Mzazi wake alafu akasaidia Wazazi wa Wengine, hiyo haipo kikanuni na siô Asili. MTU atasaidia Wazazi wake Kwanza ñdipo asaidie Wazazi wa Wengine.

Hiyo Ipo vivyohivyo Kiroho:

Kiroho;
Huwezi ukaomba Msaada Kwa Mizimu ya Kambo itakusaidia kuliko àmbavyo ungeomba katika Mizimu ya kwenu.
Mizimu ya Kambo haiwezi Acha kusaidia Watoto na kizazi chao ije Ikusaidie wewe àmbaye haupo hata kwèñye Database ya vinasaba vyao.

Unaweza usinielewe vizuri lakini tutaelewana.

Kûna wanaoabudu Mungu wa Ibrahim, na Mizimu ya kina Ibrahim. Ukweli NI kuwa haitakuja kutokea Mizimu ya Ibrahim, Isaka na Yakobo Ikusaidie kuliko itakavyosaidia Wayahudi, Waishmael, Wapalestina, wajordan, na waarabu.

Mizimu hiyo itasaidia Kwanza Watoto wake ndipo Yale Makombo ndîo Wapewe Watoto wakambo. Hii NI kusema, Kamwe Waafrika, na Watu wôte wanaoitumainia Mizimu ya kiebrania hawawezi kuwashinda Wayahudi, na waarabu Kwa maendeleo. Hii NI kusema, Watakuwa watumwa au Daraja la pili mbele ya jamii hizô.

Mtoto wa Kambo NI Mtoto WA kambo tuu. Na Baba wa kambo atabaki kuwa Baba WA kambo.

Bahati nzuri, kiroho Hakuna uongouongo na ulaghai. Kiroho kîla Jambo hubakia sehemu yake, na kîla mkondo hufuata mkondo wake.

Wanawake weñye Akili hujua umuhimu wa Mtoto kumjua Babaake Halisi. Hata kama atakuwa amemrubuni Mwanaume Kwa kumbambikia lakini Ipo Siku atatafuta Siku amweleze Ukweli Mtoto kuwa, Baba yako halisi NI Fulani.
Hii kimwili inaweza Kuzua tafrani, lakini kiroho hujenga msingi na mfumo wa Mtoto kupewa Msaada.

Mtoto àmbaye hajui Mzazi wake halisi, NI Mtoto ambaye hawezi kupata msaada wa Kiroho. Kwa sababu atakuwa mtumwa kiroho wa mîungu Wengine.

NI Sawasawa na mtoto aliyetupwa vichakani akaokolewa na kulelewa na Watu wasiowazazi wake.
Itakuwa Roho yenye kutangatanga.

Unakuta Mtoto Baba yake halisi ni Msukuma, lakini Mama kambambikia Mchagga. Mtoto anapofanya Dua au Maombi uchaggani, mîungu, na Dola za kiroho za uchaggani zinakuwa hazina tàarifa za mtoto Husika, zinakuwa hazimtambui...

Mtu anapokufa, anaenda kukusanyika na familia, ûkoo na falme Yake kiroho.
Sasa Mama alidanganya akambambikia Mwanaume Mtoto asiyewake, Mtoto kiroho ni Msukuma lakini kimwili walidanganya NI Mchagga. Akazikwa na kusajiliwa kichaga kimwili akifa, akienda uchaggani anajikuta katika Hali ngumu zaidi, hatambuliki siô uchaggani Wala siô usukumani.
Hapo ñdipo ukisikia Roho zinazotanga tanga n kutaabika.

Roho hizô hazipumzikagi Kwa sababu zinakosa utawala, falme ya kuwaongoza.

Ieleweke kwamba, Maisha ya kimwili yanafanana na Maisha ya kiroho Kwa asilimia kûbwa.

Kutengwa Kiroho,
Yàani umekufa kimwili lakini ûkienda kiroho katika falme za rohoni, unakuwa mkimbizi Huna Makao.

Mtu anapokufa kimwili huzaliwa Kiroho. Falme za rohoni zinakuwa na tàarifa kuwa Fulani Leo anakuja, hivyo zinaandaa mazîngira ya kukupokea.

Yàani kwa Mfano, Mimi Taikon ndiye Robert Siku nikifa KIMWILI, nazaliwa katika ufalme wa rohoni, Wazee na mababu zangu waliotangulia wanataarifa za ujio wangu.
Kwèñye ufalme wa Roho Huona dalili zote za ujio wako Huko falme za kiroho, kama vile unavyoona dalili ya mwanamke mjamzito akikaribia Kujifungua ndivyo waliopo falme za roho waonavyo dalili za Siku yako ya kufa kimwili na kuzaliwa katika ulimwengu waô.

Kuzikwa familia yàani Mke na Mume na Watoto, na ûkoo mmoja hurahisisha Baadhi ya ishu katika falme za Kiroho.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Duuh hii mpya na Kali!
 
BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

ANGALIZO:
Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili;
Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu, waliobambikia Wanaume Watoto wasio waô.

Pili, Viongozi wa Kidini na wale wasioamini Mambo ya Mizimu na mîungu. Kwa namna hiyo Basi, Ikiwa hutaki kukereka, kuumizwa kihisia au kiroho, au Ikiwa hautaki kubadili mtazamo na Imani uliyonayo Sasa hivi. Au Ikiwa ulimbambikia Mwanaume Mtoto asiyewake. Au Ikiwa wewe ni Atheist, Basi NI Vizuri kuachia Hapa kusoma, kuendelea kusoma itahesabika kero uliyojitengenezea wewe mwenyewe na Wala Mimi sitakuwa sehemu ya Kero au changamoto yoyote itakayokupata.

Ni Yule Mtibeli Kutoka Ñyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili, irukayo Kutoka ulimwengu mmoja kuelekea ulimwengu Mwingine.

Hakuna Mtu àmbaye utaomba Msaada wa haraka akakupa zaidi ya Wazazi wako na ndugu zako. Hawa ndîo wanaweza kukupa msaada wa haraka Sana. Hasahasa Mzazi aliyekuzaa.

Nature imetoa fursa na kuweka Kanuni ya mvutano weñye Ñguvu Kwa Watu wanao-share vinasaba, yàani damu.

Kûna Mungu na mîungu. Mungu NI mmoja aliyeumba mîungu.
Mîungu Ipo mingi. Hata Wazazi na Wazee waliotutangulia NI sehemu ya Mîungu. Ingawaje Hawana Ñguvu kûbwa kama Mungu Mkûu.

KIMWILI,
Huwezi Ukawa Mtoto wa Kambo alafu Baba wa kambo akajitoa Sana kwako Kuliko anavyojitoa Kwa Watoto wake aliowazaa. Kikanuni na kiasili Jambo Hilo halipo. Mzazi atamsaidia zaidi Mtoto wake kuliko atakavyomsaidia Mtoto wa Kambo.
Mtoto WA kambo ni Mtoto WA kambo tuu. Hawezi kubadilika akawa Mtoto wako hata ungefanya kitu gàni. Hiyo inafahamika.
Kimwili.

Mtu hawezi kuacha kumsaidia Mzazi wake alafu akasaidia Wazazi wa Wengine, hiyo haipo kikanuni na siô Asili. MTU atasaidia Wazazi wake Kwanza ñdipo asaidie Wazazi wa Wengine.

Hiyo Ipo vivyohivyo Kiroho:

Kiroho;
Huwezi ukaomba Msaada Kwa Mizimu ya Kambo itakusaidia kuliko àmbavyo ungeomba katika Mizimu ya kwenu. Mizimu ya Kambo haiwezi Acha kusaidia Watoto na kizazi chao ije Ikusaidie wewe àmbaye haupo hata kwèñye Database ya vinasaba vyao.

Unaweza usinielewe vizuri lakini tutaelewana.

Kûna wanaoabudu Mungu wa Ibrahim, na Mizimu ya kina Ibrahim. Ukweli NI kuwa haitakuja kutokea Mizimu ya Ibrahim, Isaka na Yakobo Ikusaidie kuliko itakavyosaidia Wayahudi, Waishmael, Wapalestina, wajordan, na waarabu.

Mizimu hiyo itasaidia Kwanza Watoto wake ndipo Yale Makombo ndîo Wapewe Watoto wakambo. Hii NI kusema, Kamwe Waafrika, na Watu wôte wanaoitumainia Mizimu ya kiebrania hawawezi kuwashinda Wayahudi, na waarabu Kwa maendeleo. Hii NI kusema, Watakuwa watumwa au Daraja la pili mbele ya jamii hizô.

Mtoto wa Kambo NI Mtoto WA kambo tuu. Na Baba wa kambo atabaki kuwa Baba WA kambo.

Bahati nzuri, kiroho Hakuna uongouongo na ulaghai. Kiroho kîla Jambo hubakia sehemu yake, na kîla mkondo hufuata mkondo wake.

Wanawake weñye Akili hujua umuhimu wa Mtoto kumjua Babaake Halisi. Hata kama atakuwa amemrubuni Mwanaume Kwa kumbambikia lakini Ipo Siku atatafuta Siku amweleze Ukweli Mtoto kuwa, Baba yako halisi NI Fulani.

Hii kimwili inaweza Kuzua tafrani, lakini kiroho hujenga msingi na mfumo wa Mtoto kupewa Msaada.

Mtoto àmbaye hajui Mzazi wake halisi, NI Mtoto ambaye hawezi kupata msaada wa Kiroho. Kwa sababu atakuwa mtumwa kiroho wa mîungu Wengine.

NI Sawasawa na mtoto aliyetupwa vichakani akaokolewa na kulelewa na Watu wasiowazazi wake.
Itakuwa Roho yenye kutangatanga.

Unakuta Mtoto Baba yake halisi ni Msukuma, lakini Mama kambambikia Mchagga. Mtoto anapofanya Dua au Maombi uchaggani, mîungu, na Dola za kiroho za uchaggani zinakuwa hazina tàarifa za mtoto Husika, zinakuwa hazimtambui.

Mtu anapokufa, anaenda kukusanyika na familia, ûkoo na falme Yake kiroho. Sasa Mama alidanganya akambambikia Mwanaume Mtoto asiyewake, Mtoto kiroho ni Msukuma lakini kimwili walidanganya NI Mchagga. Akazikwa na kusajiliwa kichaga kimwili akifa, akienda uchaggani anajikuta katika Hali ngumu zaidi, hatambuliki siô uchaggani Wala siô usukumani. Hapo ñdipo ukisikia Roho zinazotanga tanga n kutaabika.

Roho hizô hazipumzikagi Kwa sababu zinakosa utawala, falme ya kuwaongoza.

Ieleweke kwamba, Maisha ya kimwili yanafanana na Maisha ya kiroho Kwa asilimia kûbwa.

Kutengwa Kiroho, yàani umekufa kimwili lakini ûkienda kiroho katika falme za rohoni, unakuwa mkimbizi Huna Makao.

Mtu anapokufa kimwili huzaliwa Kiroho. Falme za rohoni zinakuwa na tàarifa kuwa Fulani Leo anakuja, hivyo zinaandaa mazîngira ya kukupokea.

Yàani kwa Mfano, Mimi Taikon ndiye Robert Siku nikifa KIMWILI, nazaliwa katika ufalme wa rohoni, Wazee na mababu zangu waliotangulia wanataarifa za ujio wangu.

Kwèñye ufalme wa Roho Huona dalili zote za ujio wako Huko falme za kiroho, kama vile unavyoona dalili ya mwanamke mjamzito akikaribia Kujifungua ndivyo waliopo falme za roho waonavyo dalili za Siku yako ya kufa kimwili na kuzaliwa katika ulimwengu waô.

Kuzikwa familia yàani Mke na Mume na Watoto, na ûkoo mmoja hurahisisha Baadhi ya ishu katika falme za Kiroho.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Pengine nitakuwa nje ya mada! Hivi unajua asili ya jina lako (Robert)?
 
Ahsante sana kwa mafunuo haya,kusema kweli haya matambiko ya mashariki ya kati tunayokesha tukifanya mizimuni(makanisani na misikitini) nimekuwa na dukuduku nayo muda mrefu.Lakini kwa mahubiri haya kwa kweli nimebarikiwa sana.
 
Andishi fikirishi
 
Ila kubambikiwa mtoto mwanamke anakua amekudharau sana
Acha tu. Kuna m'moja alinitest na huo ufala,nikamwambia kama unajua huo ujauzito sio wangu niambie mapema maana itakuletea shida sana na pengine wewe au mtoto mnaweza kudedi.

Akaogopa siku ya pili ananitumia sms kuwa alikuwa ananitest tu kuona kama nitapokea vizuri taarifa za ujauzito.

Tokea pale nikajua tu hili ni tatizo hakuna haja ya kuendelea nae. Unamtest vipi mwanaume na taarifa za ujauzito ili upate kitu gani?
 
Back
Top Bottom