Baba wa kambo wa Kim Kardashian ajibadili jinsia

wembeee

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
2,708
Reaction score
1,353


Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner ameweka wazi kwa mara ya kwanza uamuzi wa kujibadilisha kuwa mwanamke.”alisema. “Ni ngumu kwa watu kuelewa hilo lakini hivyo ndivyo nafsi yangu ilivyo.

”Jenner ana watoto sita aliowazaa mwenyewe, Burt,Cassandra, Brandon, Brody, Kendall and Kylie na wa kambo ambao ni Kourtney, Kim, Khloe na Rob Kardashian.

Bruce amewaambia watoto wake kuwa wanaweza kuendelea kumuita baba lakini bado hajaweka wazi jina la kike alilochagua kutumia.

Familia yake imeungana mkono na kuahidi kuwa naye bega kwa bega.

Hivi ndivyo wanae wametweet baada ya interview hiyo:

��Kim Kardashian: Love is the courage to live the truest, best version of yourself. Bruce is love. I love you Bruce. Your honesty has opened the doors for others to be courageous and live an authentic life!
#respect #hero #family
.
��Kourtney Kardashian: Couldn’t be a more proud daughter. With courage and bravery, let’s change the world. I am honored to stand by Bruce’s side and support him.
.
��Khloé Kardashian: Just finished watching the #BruceJennerInterview with the family. Bruzer, I’m soooo proud of you! Dads really are heros ❤️
.
��Kendall Jenners: I love you, So very proud of you,my hero.
.
��Kylie Jenner: Understandingly, this has been very hard for me. You will hear what I have to say when I’m ready to but, this isn’t about me. I’m so proud of you, Dad. You are so brave. My beautiful Hero.
.
��Aliyekuwa mke wake, Kris Jenner ametweet: Not only was I able to call him my husband for 25 years and father of my children, I am now able to call him my hero.

DUH HONGERA YAKE KWA KUWA NA FAMILIA NGANGARI HIVI KHA...HIVI INGEKUWA BONGO INGEKUWAJE?MTANGAZAJI NAE MMBEA ANAMWAMBIA AZIFUNGUE NYWELE TEH TEH...
 
Mi nahisi naishi ulimwengu mwingine kabisa,kwangu ni jambo la ajabu mno na ngumu kulielewa,yaani naona kama movie,igizo si kweli, bado sijaelewa na nisingependa kulielewa
 


While the Kardashian/Jenner klan has been pretty silent on the matter, Kim has commented on the rumors during an interview with Entertainment Tonight.Speaking about her step-father Kim said,

I guess I'll kind of let everyone be curious and I feel like that's his journey to talk about. "I will say that I think Bruce should tell his story his way … I think everyone goes through things in life and I think that story and what Bruce is going through, I think he'll share whenever the time is right.

It has also been rumored that Bruce's "journey" will be discussed on the upcoming season of Keeping Up With the Kardashians… anything for the ratings!
 
kwa hyo all this time alivyokuwa married to tht woman alikuwa anataka kuvaa nguo zake na skuna?!...i really wonder how tht married was behind closed doors duh
 
Hata kama ni utandawaz huu umezid...

Na familia yake inamsapoti????????
 
Sina uhakika kama comment yangu ingeonekana, kama mwanae...
 
Sipati picha mdingi anataka kuwa mrembo duh!
 
Nitajitahidi niwe wa kwanza kumpitia.
 
Sasa nani atakuwa anamtia mke wake nauliza tu! huu ni msiba mkubwa sana!
 
Hamzai Kim bhana chunguza vizuri huyo anawazaa akina kendall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…