wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner ameweka wazi kwa mara ya kwanza uamuzi wa kujibadilisha kuwa mwanamke.alisema. Ni ngumu kwa watu kuelewa hilo lakini hivyo ndivyo nafsi yangu ilivyo.
Jenner ana watoto sita aliowazaa mwenyewe, Burt,Cassandra, Brandon, Brody, Kendall and Kylie na wa kambo ambao ni Kourtney, Kim, Khloe na Rob Kardashian.
Bruce amewaambia watoto wake kuwa wanaweza kuendelea kumuita baba lakini bado hajaweka wazi jina la kike alilochagua kutumia.
Familia yake imeungana mkono na kuahidi kuwa naye bega kwa bega.
Hivi ndivyo wanae wametweet baada ya interview hiyo:
��Kim Kardashian: Love is the courage to live the truest, best version of yourself. Bruce is love. I love you Bruce. Your honesty has opened the doors for others to be courageous and live an authentic life!
#respect #hero #family
.
��Kourtney Kardashian: Couldnt be a more proud daughter. With courage and bravery, lets change the world. I am honored to stand by Bruces side and support him.
.
��Khloé Kardashian: Just finished watching the #BruceJennerInterview with the family. Bruzer, Im soooo proud of you! Dads really are heros ❤️
.
��Kendall Jenners: I love you, So very proud of you,my hero.
.
��Kylie Jenner: Understandingly, this has been very hard for me. You will hear what I have to say when Im ready to but, this isnt about me. Im so proud of you, Dad. You are so brave. My beautiful Hero.
.
��Aliyekuwa mke wake, Kris Jenner ametweet: Not only was I able to call him my husband for 25 years and father of my children, I am now able to call him my hero.
DUH HONGERA YAKE KWA KUWA NA FAMILIA NGANGARI HIVI KHA...HIVI INGEKUWA BONGO INGEKUWAJE?MTANGAZAJI NAE MMBEA ANAMWAMBIA AZIFUNGUE NYWELE TEH TEH...