Baba wa Mke aliyeuawa na kuchomwa moto aridhika na Hukumu

mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu

jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Sasa hiyo mbona ni manslaughter, sio murder, kahukumiwaje kunyongwa?
 
Sina akika kama una uelewa wa kutosha nna haya masuala mkuu.pia sina hakika kama hata umeelewa na kusoma nilicho kiandikka.
Nawaelewa sana,mnasema hukumu ya kunyongwa haijasaidia bora wafungwe maisha,mkiwa na maana mnawaonea huruma wauaji kwa kusema aliyekufa hawezi kurudi hata muuaji akinyongwa,

Na ikizoeleka ivyo mjue tu mauaji yataongeza sana, mi mwenyewe hapa kukosa sheria ya kunyongwa kuna mtu ningemkill zamani.
 
Ila waandishi wa habari nao ni kero. Mtu analia unampelekea mic. Siku watakutana na mtu kavurugwa wakione cha mtema kuni
 
Nawaelewa sana,mnasema hukumu ya kunyongwa haijasaidia bora wafungwe maisha,mkiwa na maana mnawaonea huruma wauaji kwa kusema aliyekufa hawezi kurudi hata muuaji akinyongwa,

Na ikizoeleka ivyo mjue tu mauaji yataongeza sana, mi mwenyewe hapa kukosa sheria ya kunyongwa kuna mtu ningemkill zamani.
Uliishia la ngapi?
 
Sasa hiyo mbona ni manslaughter, sio murder, kahukumiwaje kunyongwa?
case ilikua very technical na complex ndo maana imechukua miaka 6

ile kuleta magunia ya mkaa na petrol kutaka kumchoma nahis ndo imeshift case kutoka manslaughter had murder case

Kuchoma maiti ili kuficha ushahidi ni murder? Kuwa serious kidogo, hili sio jukwaa la jokes..
 
mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu

jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Na unajisifu au?
 
Mkuu samahani hivi ni Jela au Jera kama Magu alivyokuwa anitamka ?...Kiswahili kigumu
 
Hukumu ya kifo huwa inatekelezwa vizuri tu, sio kila kitu utaambiwa

Waulize waliokata jera ya vifungo vya maisha na kunyongwa

Huwa wanaitwa wanafungwa vitambaa vyeusi usoni na kupelekwa jera ya kunyongea Njombe
Enzi za ujana wetu adhabu ya kunyongwa ilikuwa inatekelezwa Gerezani la Isanga pale Dodoma!
 
mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu

jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Huyu mwanamke wa khamis alikua analala nje kabisa na alikua bwana khamis kamfungulia duka la mpesa nk so mwanamke biashara ilipochanganya na kibri namaneno yashombo yakakolea.shekh hamis akaona kuongeza mmke siwezi kujiua siwezi ntaachia wamaume wenzangu shida ngoja ntatue tatizo. Ndo kambanika vizuuuri natatizo likaisha
 
Na yeye hana tena maisha sasa naye amejimaliza mwenyewe.
 
Afadhali angemwacha kwa kumstukiza kisha angepata mwanamke mwingine mzuri atakae pendana nae na alotulia na mwenye adabu kwake na akafurahia maisha yake vizuri mno kuliko kuchuma majanga mazito hayo.

Hivi huwa hawapimi kwa mbele itakuwaje kabla ya maamuzi hayo ya hovyo ?!
 
mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu

jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Basi asingemfungulia biashara za kusimamia, mambo ni mengi.
 
Hawa wakina Hamisi sijui akili zao vipi?
1740639269873.png
 
Kinachonikwaza tu hii hukumu sijawahi kusikia imetekelezwa, tena wangekuwa wanaweka kabisa kwenye vyombo vya habari labda itapunguza mambo mengine
Tafiti lukuki zimeshaonyesha kwamba hukumu ya kifo haisaidii cho chote (is not a deterrent) dhidi ya matukio ya mauaji ya kikatili. Ndiyo maana nchi nyingi zimeshaifuta au zinapambana kuifuta.

Matukio mengi ya kikatili hufanywa na watu ambao wana changamoto za afya ya akili; na tabia hizi huanza polepole. Mtu hakurupuki tu siku moja na kufanya matukio haya bali kunakuwa na pattern of behavior ambazo waathirika huziona na kuzipuuzia. Nchi nyingi wanawekeza katika kuimarisha huduma za afya ya akili kama mkakati mmojawapo wa kupambana na matukio haya ya kutisha.
 
Back
Top Bottom