FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa hiyo mbona ni manslaughter, sio murder, kahukumiwaje kunyongwa?mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu
jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Kwaiyo ikitokea mtu akamuua mumeo aachiwe huru kisa hukumu ya kunyongwa haisaidii kitu bibie?Hiyo haotasaidia kitu mkuu.
Boda boda wanakufa kwa ajali kila dakika na bado waaendelea kufa na kufanya makosa ya road.
Vibaka wanachhomwa kila siu huko uswwahilini lakini bado wana kwapua
Sina akika kama una uelewa wa kutosha nna haya masuala mkuu.pia sina hakika kama hata umeelewa na kusoma nilicho kiandikka.Kwaiyo ikitokea mtu akamuua mumeo aachiwe huru kisa hukumu ya kunyongwa haisaidii kitu bibie?
Nawaelewa sana,mnasema hukumu ya kunyongwa haijasaidia bora wafungwe maisha,mkiwa na maana mnawaonea huruma wauaji kwa kusema aliyekufa hawezi kurudi hata muuaji akinyongwa,Sina akika kama una uelewa wa kutosha nna haya masuala mkuu.pia sina hakika kama hata umeelewa na kusoma nilicho kiandikka.
Uliishia la ngapi?Nawaelewa sana,mnasema hukumu ya kunyongwa haijasaidia bora wafungwe maisha,mkiwa na maana mnawaonea huruma wauaji kwa kusema aliyekufa hawezi kurudi hata muuaji akinyongwa,
Na ikizoeleka ivyo mjue tu mauaji yataongeza sana, mi mwenyewe hapa kukosa sheria ya kunyongwa kuna mtu ningemkill zamani.
La kwanza DUliishia la ngapi?
case ilikua very technical na complex ndo maana imechukua miaka 6Sasa hiyo mbona ni manslaughter, sio murder, kahukumiwaje kunyongwa?
Sasa hiyo mbona ni manslaughter, sio murder, kahukumiwaje kunyongwa?
Kuchoma maiti ili kuficha ushahidi ni murder? Kuwa serious kidogo, hili sio jukwaa la jokes..case ilikua very technical na complex ndo maana imechukua miaka 6
ile kuleta magunia ya mkaa na petrol kutaka kumchoma nahis ndo imeshift case kutoka manslaughter had murder case
Na unajisifu au?mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu
jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Enzi za ujana wetu adhabu ya kunyongwa ilikuwa inatekelezwa Gerezani la Isanga pale Dodoma!Hukumu ya kifo huwa inatekelezwa vizuri tu, sio kila kitu utaambiwa
Waulize waliokata jera ya vifungo vya maisha na kunyongwa
Huwa wanaitwa wanafungwa vitambaa vyeusi usoni na kupelekwa jera ya kunyongea Njombe
Huyu mwanamke wa khamis alikua analala nje kabisa na alikua bwana khamis kamfungulia duka la mpesa nk so mwanamke biashara ilipochanganya na kibri namaneno yashombo yakakolea.shekh hamis akaona kuongeza mmke siwezi kujiua siwezi ntaachia wamaume wenzangu shida ngoja ntatue tatizo. Ndo kambanika vizuuuri natatizo likaishamwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu
jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Huyu mwanamke wa khamis alikua analala nje kabisa na alikua bwana khamis kamfungulia duka la mpesa nk so mwanamke biashara ilipochanganya na kibri namaneno yashombo yakakolea.shekh hamis akaona kuongeza mmke siwezi kujiua siwezi ntaachia wamaume wenzangu shida ngoja ntatue tatizo. Ndo kambanika vizuuuri natatizo likaisha
Basi asingemfungulia biashara za kusimamia, mambo ni mengi.mwamba alikua na mfumo dume kama wangu mimi wife hatoki ndani ni kupika na kuzaa tu
jamaa inasemekana alimkataza wife kua anatoka nyumbani wife akashupaza shingo. hamis akanyooka nae front ikawa ndo safar na mwisho wa story
Hawa wakina Hamisi sijui akili zao vipi?
Hilo sasa nilakwake lakin nathan jama ana aman sana picha ya jana mahakaman kanenepa kuliko ile iliyopigwa wakati anakamatwa mwanzon na kupelekwa policNa yeye hana tena maisha sasa naye amejimaliza mwenyewe.
Tafiti lukuki zimeshaonyesha kwamba hukumu ya kifo haisaidii cho chote (is not a deterrent) dhidi ya matukio ya mauaji ya kikatili. Ndiyo maana nchi nyingi zimeshaifuta au zinapambana kuifuta.Kinachonikwaza tu hii hukumu sijawahi kusikia imetekelezwa, tena wangekuwa wanaweka kabisa kwenye vyombo vya habari labda itapunguza mambo mengine