Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na baba wa Rais wa thathaaa.Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
Inategemea na jukwaa.Kuna kitu nitaweka humu. Siku hizi na utu uzima wangu napenda sana kuanzisha hoja humu, lakini watoto wengi
Big Sister acha umamaKuna kitu nitaweka humu. Siku hizi na utu uzima wangu napenda sana kuanzisha hoja humu, lakini watoto wengi
Halafu ukishamjua itakusaidia nini! Acha kuleta mambo yako ya hovyo humu! Wewe babamkwe wako nani anamjua au kwa sababu uliachika kwa fedheha?Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
HAta wewe ni mtoto wa mtuKuna kitu nitaweka humu. Siku hizi na utu uzima wangu napenda sana kuanzisha hoja humu, lakini watoto wengi
Niliambiwa ni mstaafu wa JWTZ alistaafu na cheo cha Captain,wanakaa njiapanda ya kwenda KaweKuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
kwahiyo yule dada ni mhehe kumbe?kwa kuanza tu ni muhehe wa ngome ya Mkwawa
Unamtakia nini shemeji yetu?Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
Ndiyo, mimi namjua unatakaje kwa mfano?Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?