Baba wa mke wa Rais Zanzibar

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601
Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
 
Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
Halafu ukishamjua itakusaidia nini! Acha kuleta mambo yako ya hovyo humu! Wewe babamkwe wako nani anamjua au kwa sababu uliachika kwa fedheha?
 
Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
Niliambiwa ni mstaafu wa JWTZ alistaafu na cheo cha Captain,wanakaa njiapanda ya kwenda Kawe
 
Mnazidi kumsagia kunguni Dr Mwinyi maana yeye mwenyewe hawamtaki sasa ukiongezea hilo la first lady kuwa ni mnyalu sijui watavimba vipi!
 
Kwani unataka Nini kwake!?unadhani huyo baba ana mtoto mwingine wa kike uoe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…