inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwame nkuruma alimshutumubkiwa ni kibaraka wa mabeberuNyerere mzeee wa calculation, Kuna mada ya Mshana Jr alikua anazungumzia picha katika ulimwengu wa roho, nikiangalia hapo Nyerere yupo tofauti na wenzake na kwel ni wa tofauti wenzake walifanya harakati nyingi kwa mda mrefu lkn yeye ndani ya miaka isiyozidi 7 alikamilisha kazi
Mrangi,Picha tu ukiangalia hapo inaonesha j.k
Kawazidi wote upeooo [emoji41]
Ova
Wazanaki ndo watu gani na mungu wao ni yupi?Mkiambiwa Wazanaki ni Watu waliobarikiwa na Mwenyezi Mungu na wana Nguvu Maalum ya Kiutawala na Kimamlaka msiwe mnabisha sawa,?
Muislamu ndugu yake ni muislamu sasa nyerere hakuwa muislamu itakuwaje hao wawe ndugu zake?BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA NDUGUZE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
View attachment 2836165