Baba wa Ubatizo Kafanya Kweli!!!

Baba wa Ubatizo Kafanya Kweli!!!

Kabisa.......hakungekuwa na kodi,school fees,sijui matumizi nk kama jogoo vile.....akishamaliza basi majukumu yote ya kuku

Nani kawadanganya wanyama hawana mambo haya??ni baadhi tu ndio hawana but most of them wana pride zao na wake,chunguza maisha ya simba na ndege ,tena kuna aina ya ndege wanakuwa patners for life,akifa mmoja ,mwingine anakaa bila kugonga hadi anakufaa
 
mume atajuaje kama mto si wake? Au huyo baba wa ubatizo ni mchina au mzungu? Kama wote ni waswahili mbele kwa mbele kwa mbele mume atalea mtoto huyo.

Wewe wasema vyema, lakini ningekuwa mimi ningekuabali lakin huyo mtoto angekuwa sawa na houseboy/ girl ndani ya nyumba yangu!!
 
mume atajuaje kama mto si wake? Au huyo baba wa ubatizo ni mchina au mzungu? Kama wote ni waswahili mbele kwa mbele kwa mbele mume atalea mtoto huyo.

Mume halisi mweusi tii wote na mkewe, Baba wa ubatizo mweupe pee!!. mtoto wa kwanza mweusi tii.
 
Kwani huyo mume alotiliwa mkewe mimba alikua halali na mkewe mpaka mwanamke awena wasiwasi kama atajua? kakosea kucheza karata zake angekua anampa huyu leo baada ya siku 2 anampa wa home ata yeye mwenyewe angejichanganya na mtoto akawa wa mume alomuoa.....
 
huyo mama afunge bakuli lake itamsaidia kwa muda..............
 
Kwani huyo mume alotiliwa mkewe mimba alikua halali na mkewe mpaka mwanamke awena wasiwasi kama atajua? kakosea kucheza karata zake angekua anampa huyu leo baada ya siku 2 anampa wa home ata yeye mwenyewe angejichanganya na mtoto akawa wa mume alomuoa.....

unaongea kirahisi kama kimba likitoka nchonyoni..mpssxxyy ye si atakua pornstar sasa?? anatwanga kote kote?? leo hapa kesho pale..baada ya mwezi kule chini kutachanua kama alizeti
 
nyie mna kiherehere tu, najua mimba umempa wewe
kwani shida iko wapi, wewe kaa kando kama vile huna time tena na hiyo familia,
mtoto atazaliwa na maisha yataendelea,
kwani hujui kuwa kila familia ina mtoto wa nje ya ndoa,
hata wewe unao.
 
Akha!!!!!!!!!! mi sina, ndio mchezo wako nini!!
 
Nani kawadanganya wanyama hawana mambo haya??ni baadhi tu ndio hawana but most of them wana pride zao na wake,chunguza maisha ya simba na ndege ,tena kuna aina ya ndege wanakuwa patners for life,akifa mmoja ,mwingine anakaa bila kugonga hadi anakufaa

mhhh mkuu hapo kwenye RED ndege gani huyo..??????... hehehe! let me do my homework !!
 
Mimba tangu lini ikawa ya mwanaume wakati anayebeba ni mwanamke?
 
CAMARADERIE mambo vp?
Hata mimi huyo jamaa kaniachia pigo,
 
Back
Top Bottom