Kabisa.......hakungekuwa na kodi,school fees,sijui matumizi nk kama jogoo vile.....akishamaliza basi majukumu yote ya kuku
mume atajuaje kama mto si wake? Au huyo baba wa ubatizo ni mchina au mzungu? Kama wote ni waswahili mbele kwa mbele kwa mbele mume atalea mtoto huyo.
mume atajuaje kama mto si wake? Au huyo baba wa ubatizo ni mchina au mzungu? Kama wote ni waswahili mbele kwa mbele kwa mbele mume atalea mtoto huyo.
Kwani huyo mume alotiliwa mkewe mimba alikua halali na mkewe mpaka mwanamke awena wasiwasi kama atajua? kakosea kucheza karata zake angekua anampa huyu leo baada ya siku 2 anampa wa home ata yeye mwenyewe angejichanganya na mtoto akawa wa mume alomuoa.....
nyie mna kiherehere tu, najua mimba umempa wewe
kwani shida iko wapi, wewe kaa kando kama vile huna time tena na hiyo familia,
mtoto atazaliwa na maisha yataendelea,
kwani hujui kuwa kila familia ina mtoto wa nje ya ndoa,
hata wewe unao.
Nani kawadanganya wanyama hawana mambo haya??ni baadhi tu ndio hawana but most of them wana pride zao na wake,chunguza maisha ya simba na ndege ,tena kuna aina ya ndege wanakuwa patners for life,akifa mmoja ,mwingine anakaa bila kugonga hadi anakufaa
Uswahilini tunaita kifirohuu msala dume huu....