Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
mhhh mkuu hapo kwenye RED ndege gani huyo..??????... hehehe! let me do my homework !!
WAnawake wazinzi utawajua tu kwa kuhalalisha uchafu, kama kwenye family yako umefanya hivyo basi siyo wote usitafute support... Naichukia sana hiyo tabia eti mtu anaibuka tu from no where na kuanza kusema ati hamna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa au mwanamme asiye na kimada, kisaa yeye ndio mwenye tabia hiyo. Naamini kabisa wapo wanawake waaminifu kabisa 100% kwa ndoa zao, na wapo wanaume pia wa namna hiyo.nyie mna kiherehere tu, najua mimba umempa wewe
kwani shida iko wapi, wewe kaa kando kama vile huna time tena na hiyo familia,
mtoto atazaliwa na maisha yataendelea,
kwani hujui kuwa kila familia ina mtoto wa nje ya ndoa,
hata wewe unao.
WAnawake wazinzi utawajua tu kwa kuhalalisha uchafu, kama kwenye family yako umefanya hivyo basi siyo wote usitafute support... Naichukia sana hiyo tabia eti mtu anaibuka tu from no where na kuanza kusema ati hamna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa au mwanamme asiye na kimada, kisaa yeye ndio mwenye tabia hiyo. Naamini kabisa wapo wanawake waaminifu kabisa 100% kwa ndoa zao, na wapo wanaume pia wa namna hiyo.
Nani kawadanganya wanyama hawana mambo haya??ni baadhi tu ndio hawana but most of them wana pride zao na wake,chunguza maisha ya simba na ndege ,tena kuna aina ya ndege wanakuwa patners for life,akifa mmoja ,mwingine anakaa bila kugonga hadi anakufaa
......Huyu Jamaa sijui utamshauri vipi. Mi nadhani ajinyonge mapema.
kama ningekuwa mimi baada ya kugundua kwamba mke au refiki yangu kanihujumu, nitamuuliza. wakati namuuliza nitampima pschologia yake. baada ya pale kama ni kweli, nitampa adhabu ya kisaikologia ambayo naamini akiipata hata rudia tena.
Wewe wasema vyema, lakini ningekuwa mimi ningekuabali lakin huyo mtoto angekuwa sawa na houseboy/ girl ndani ya nyumba yangu!!