Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamake KANUMBA alikataa asipelekwe shy becouse hakuna nafasi ya kuuweka ule umati.So dingi akaona isiwe shida,kafungulia mbuzi wake huyo.......kaenda machungani.alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga.
Kweli kabisa.
Tusubiri picha za huko leaders.
shibuda ndo kamuwakilisha
Shibuda ni wa Ukoo wa Kanumba ?
du kweli humu JF wata wataka kujua kila kitu.....! DUSimsikii kwenye hii msiba, nasikia mama yake tu. vipi amesusa?