Baba Ya Kanumba

Baba Ya Kanumba

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Wapi baba yake the great jamani?
 
Simsikii kwenye hii msiba, nasikia mama yake tu. vipi amesusa?
 
alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga.
 
Hata mimi nashangaa, labda mzee wa watu amejiweka kando kwa kuwa mwanae alishautangazia uma kwamba ham-mind baba'ke.
 
atakuwepo, yule mzee ni mtu sana pengine kama mwanaye,
alikuwa nategemea kuja bongo jana, baba yule siyo mbishi kabisa,
R.I.P Kanumba.
 
alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga.
Mamake KANUMBA alikataa asipelekwe shy becouse hakuna nafasi ya kuuweka ule umati.So dingi akaona isiwe shida,kafungulia mbuzi wake huyo.......kaenda machungani.
 
Bora hawakwenda shy hapo Leaders tu hapatoshi kabisa
 
Keshawasili mujini, mtamuona akijumuika kwenye mazishi
 
ni kama nimesikia yupo msibani.

Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?
 
ni kama nimesikia yupo msibani.

Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?[/QUO

Sijasikia akitajwa kwenye protocol wala popote.
ndiyo sababu iliyonipelekea kuuliza mzurumie
 
watu wengine wanfikiri ni jukwaa la siasa sasa Shibuda hapa kama nani?
 
Back
Top Bottom