USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
"Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu, kwa asilimia kubwa wao ndio wamesababisha tufuzu kucheza AFCON zote mbili
"Kwenye kombe la dunia 1966, Pele alipata majeraha dhidi ya Ureno lakini mechi iliyofuata alicheza kwa sababu alipigwa sindano ya ganzi na wakawa wanamuogopa sababu yupo nje; hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwa Samatta vivyo hivyo kwa Msuva.
Nimesikia jana kocha Moroco ameita timu na Msuva na Samatta hawajaitwa. Hawa ni wachezaji muhimu. Samatta ni kama Hirizi ya Taifa Stars. Siwezi kumwambia astaafu, lakini nasikia alipeleka barua, lakini hajanishauri na angenishauri ningemwambia asipeleke. Moroco amefanya makosa kutowaita Samatta na Msuva “
Soma Pia: Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
Kocha Hemed Morocco amekosea sana kuwaacha Samatta na Simon Msuva, Mzee Ally Samatta Baba mzazi wa Mbwana Samatta.
#FutbalPlanetUpdates