Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Samatta apumzike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee atupishe. Mbwqna Samatta hatumdai kitu kwa vile amekwisha toa kila alichonacho kwa timu ya Taifa, huu ni muda wa yeye kucheza ligi zisizo na ushindani huko Greece/ Cyprus"Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu, kwa asilimia kubwa wao ndio wamesababisha tufuzu kucheza AFCON zote mbili
"Kwenye kombe la dunia 1966, Pele alipata majeraha dhidi ya Ureno lakini mechi iliyofuata alicheza kwa sababu alipigwa sindano ya ganzi na wakawa wanamuogopa sababu yupo nje; hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwa Samatta vivyo hivyo kwa Msuva.
Nimesikia jana kocha Moroco ameita timu na Msuva na Samatta hawajaitwa. Hawa ni wachezaji muhimu. Samatta ni kama Hirizi ya Taifa Stars. Siwezi kumwambia astaafu, lakini nasikia alipeleka barua, lakini hajanishauri na angenishauri ningemwambia asipeleke. Moroco amefanya makosa kutowaita Samatta na Msuva “
Soma Pia: Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
Kocha Hemed Morocco amekosea sana kuwaacha Samatta na Simon Msuva, Mzee Ally Samatta Baba mzazi wa Mbwana Samatta.
#FutbalPlanetUpdates
USSR
Kwan game ngapi anacheza na tunafungwaBinafsi naona samata anahitajika, hiyo ni kwangu mimi.
Lakini mwalimu asilaumiwe kabla ya matokeo, asubiri timu icheze ndio itajulikana alikuwa sahihi ama si sahihi.
Luiz felipe scolari alimuacha fundi ROMARIO na akarudi na kombe la dunia hakuna aliyemlaumu kama hapo awali wakati anataja majina ya wachezaji kikosini.
Pele wa brazil hajawahi fungwa na brazil yake? Vipi messi,de lima je, maradona je? Cr7!? Vipi zizzou. Hiyo barcelona bora nayo ilifungwa, ina messi, iniesta, xavi, sergio.Kwan game ngapi anacheza na tunafungwa
Yeye kuwa baba take Mbwana siyo tiketi ya kuwa juu ya Kocha."Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu, kwa asilimia kubwa wao ndio wamesababisha tufuzu kucheza AFCON zote mbili
"Kwenye kombe la dunia 1966, Pele alipata majeraha dhidi ya Ureno lakini mechi iliyofuata alicheza kwa sababu alipigwa sindano ya ganzi na wakawa wanamuogopa sababu yupo nje; hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwa Samatta vivyo hivyo kwa Msuva.
Nimesikia jana kocha Moroco ameita timu na Msuva na Samatta hawajaitwa. Hawa ni wachezaji muhimu. Samatta ni kama Hirizi ya Taifa Stars. Siwezi kumwambia astaafu, lakini nasikia alipeleka barua, lakini hajanishauri na angenishauri ningemwambia asipeleke. Moroco amefanya makosa kutowaita Samatta na Msuva “
Soma Pia: Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
Kocha Hemed Morocco amekosea sana kuwaacha Samatta na Simon Msuva, Mzee Ally Samatta Baba mzazi wa Mbwana Samatta.
#FutbalPlanetUpdates
USSR
Morocco kazi back pass na square pass,na mla urojo mwenzie fei asiye na faidaMoroko mabega yamezidi kichwa, huo uhuru wanaompa wanaua team. Binafsi kwa kocha mzawa ningempa team Mgunda.
Ana goli ngapi stars?..kukabwa yeye hakuwahi nafasi wengine kupafom?Sijawahi kuona maajabu ya Mbwana Sammata . Labda kwakuwa sio mfuatiliaji sana wa mpira
Jukwaa limeingiliwa hili mkuu kuna comment unaiangalia kabisa unajua huyu kaanza kuufuatilia mpira baada ya kununua smartphonePele wa brazil hajawahi fungwa na brazil yake? Vipi messi,de lima je, maradona je? Cr7!? Vipi zizzou. Hiyo barcelona bora nayo ilifungwa, ina messi, iniesta, xavi, sergio.
Lakini umeelewa nilichoandika?
Unataka afanye nini?Nchi ina watu wengi, acha na wengine waoneshe vipaji, samata hata hivo mchango wake taifa stars hua ni mdogo sana tuwe wakweli tu
acha ujuha hufatilii mpira unataka uyaone hayo maajabu ndotoni?Sijawahi kuona maajabu ya Mbwana Sammata . Labda kwakuwa sio mfuatiliaji sana wa mpira