Baba yake Mbwana Samatta amuijia juu kocha Morocco kuhusu kumwacha mwanaye kwenye kikosi cha stars

Hawa makocha wanaipenda na upepo ndio tabia yao. Wanajifanya makocha wakubwa.l hakuna Cha maana halafu timu ikifungwa ndio unaona washabiki, waandishi wa habari wanapiga kelele.
 
Huyu mzee atupishe. Mbwqna Samatta hatumdai kitu kwa vile amekwisha toa kila alichonacho kwa timu ya Taifa, huu ni muda wa yeye kucheza ligi zisizo na ushindani huko Greece/ Cyprus
 
Kwan game ngapi anacheza na tunafungwa
 
Yeye kuwa baba take Mbwana siyo tiketi ya kuwa juu ya Kocha.
 
Pele wa brazil hajawahi fungwa na brazil yake? Vipi messi,de lima je, maradona je? Cr7!? Vipi zizzou. Hiyo barcelona bora nayo ilifungwa, ina messi, iniesta, xavi, sergio.

Lakini umeelewa nilichoandika?
Jukwaa limeingiliwa hili mkuu kuna comment unaiangalia kabisa unajua huyu kaanza kuufuatilia mpira baada ya kununua smartphone
 
Mzazi anasahau Tz ni familia moja ila yenye watu wengi kuliko hao wanaomzunguka hapo kwake.

Ukiongozwa na hisia siku zote utaishia kuonekana mjinga maana utashindwa kuwasilisha hoja.
 
Kwani timu ya mbwana au ya Tanzania, huyo Samata mwenyewe hana msaada kabisa kwenye timu,, amekua galasa tu
 
Watu wanataka Samatta afanye maajabu bila kuangalia amezungukwa na watu wa Aina gani?
Huwepi wa Samatta ni faida kubwa kwa timu ya taifa kwani timu pinzani wanakuwa wanamchunga zaidi yeye matokeo yake inaeapa mwanya wachezaji wengine hii ndio sababu ya Msuva kufunga Mara nyingi.
Tanzania sio timu kubwa kujiona kwamba Samatta haitajiki, mafanikio ya vilabu kiasi kikubwa yameletwa na wachezaji wa kigeni.
 
Moroco ni kocha wa hovyo hafai kuifindisha taifa stars anaendeshwa na mihemko yupo pale kisiasa kwakua anatokea Zanzibar na ameshalijua hilo na ndo linampa kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…