KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Sep 29, 2021 #1 Alikukuja Baba mmoja anafanana na MK14 aliondoka kimya kimya wala siyo Kagere kukanusha wala Jamaa kueleza alivyomalizana na Mwanae mwenye kujua.
Alikukuja Baba mmoja anafanana na MK14 aliondoka kimya kimya wala siyo Kagere kukanusha wala Jamaa kueleza alivyomalizana na Mwanae mwenye kujua.
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,531 Reaction score 2,912 Sep 29, 2021 #2 Huyu mzee kashafariki mkuu.! Kama miezi mi3 nyuma amezikwa maeneo ya Mbezi-Msakuzi.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Sep 30, 2021 #3 Jamaa atakua na miaka 40 kabsa
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Sep 30, 2021 #4 chilonge said: Huyu mzee kashafariki mkuu.! Kama miezi mi3 nyuma amezikwa maeneo ya Mbezi-Msakuzi. Click to expand... Alikuwa Baba yake kweli au ndio zile type za Wabongo kuchangamkia fursa na kutafuta kiki?
chilonge said: Huyu mzee kashafariki mkuu.! Kama miezi mi3 nyuma amezikwa maeneo ya Mbezi-Msakuzi. Click to expand... Alikuwa Baba yake kweli au ndio zile type za Wabongo kuchangamkia fursa na kutafuta kiki?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 30, 2021 #5 KakaKiiza said: Alikukuja Baba mmoja anafanana na MK14 aliondoka kimya kimya wala siyo Kagere kukanusha wala Jamaa kueleza alivyomalizana na Mwanae mwenye kujua.View attachment 1957711 Click to expand... Ana 50 kabisa.
KakaKiiza said: Alikukuja Baba mmoja anafanana na MK14 aliondoka kimya kimya wala siyo Kagere kukanusha wala Jamaa kueleza alivyomalizana na Mwanae mwenye kujua.View attachment 1957711 Click to expand... Ana 50 kabisa.