Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Baba yake kweli au ndio zile type za Wabongo kuchangamkia fursa na kutafuta kiki?Huyu mzee kashafariki mkuu.! Kama miezi mi3 nyuma amezikwa maeneo ya Mbezi-Msakuzi.
Ana 50 kabisa.Alikukuja Baba mmoja anafanana na MK14 aliondoka kimya kimya wala siyo Kagere kukanusha wala Jamaa kueleza alivyomalizana na Mwanae mwenye kujua.View attachment 1957711