Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
kitabu not yet uhuru kilichapishwa mwaka 1967 kikiandikwa na jaramogi oginga odinga, baba yake raila odinga. ni wasifu unaoeleza safari ya kisiasa ya kenya kuelekea uhuru na changamoto zilizofuata baada ya uhuru wa mwaka 1963. jaramogi alieleza kuwa ingawa nchi ilipata uhuru wa kisiasa, bado haikupata uhuru wa kweli wa kiuchumi na kijamii, kwani madaraka na rasilimali zilibaki mikononi mwa wachache wenye nguvu.
Tulijing'atua kutoka mikono ya nyoka mtini, tuliporuka chiini kutoka kwenye mti kufurahia uhai tutakutana na simba ardhini.
Tulijing'atua kutoka mikono ya nyoka mtini, tuliporuka chiini kutoka kwenye mti kufurahia uhai tutakutana na simba ardhini.