Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki.
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama mzazi Ana "wish" Ila baba mzazi Ana "say ".
Hakikisha unakaa vizuri na baba yako huyo ndo kila kitu na ndo nguvu yako ya uzima.
Kwa wale ambao baba zao wameshafariki hakikisha unakuwa na ibada maalumu kila mwaka ya kumuombea Baba yako mzazi.
NB: Baraka ni pamoja na kuwa na akili nzuri yenye kujitambua.