Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana 100%inahitaji moyo kumkataa mzazi, sijui kama kuna mtu anaweza
bila madhara yeyote?Inawezekana 100%
Yapi mkuu,... Nothing is permanentbila madhara yeyote?
Yeah,kujipa matumaini....Bila mayai ya mama hizo mbegu za baba ni takataka tu.
Hazina tofauti na makamasi yanayo tolewa wakati wa kupengwa.
Baraka ni dhana ya kufikirika ya wajinga wanaojipa matumaini uchwara.
Usiweke maisha yako kwenye mrengo wa matumaini. Weka kwenye mrengo wa ukweli na uhalisia.Yeah,kujipa matumaini....
Wewe mpaka kikaldayo cha kale unakichapa wacha visa. 😂😂😂.Nimo nimo kiasi Kaka sema ndiyo vile hii lugha inataka kujiamini Sana .
Ndiyo maana nikichanganyaga maneno kuntu Kama haya wote wanaishia kuniangalia kwa huruma maana hawaelewi
Hii ndio mifano halisi why wanaume tunautofauti mkubwa sana na wanawake.Wakina baba huwa mnazingua sana, mnachojua ni kutoa hela tu ila sio kulea kwa upendo.
Nilimtumia baba angu msg whatsApp 'Baba jumamosi ya tar 2_ ni graduation yangu ya chuo' ila hiyo msg haijajibiwa mpaka kesho zaidi ya tick ya blue.
Miezi imepita NINA KINYONGO NAE..!
Nyie mnajua kutoa hela hamjui kulea ndio maana tunawapenda sana mama zetu..!Hii ndio mifano halisi why wanaume tunautofauti mkubwa sana na wanawake.
Hujui huyo baba ako amechukua risk kiasi gani madeni hadi unamaliza chuo, at the end unakuja kumlaumu kwasababu ya birthday sijui graduation inasikitisha
Hivi unadhani baba ako angekuwa anakupa huo muda unaohitaji wa birthday, graduation na sherehe za ajabu ajabu angepata wapi muda wa kutafuta pesa za kukusomesha jaribu tu kutumia common senseNyie mnajua kutoa hela hamjui kulea ndio maana tunawapenda sana mama zetu..!
Ni Sawa mwanaume hawezi kaa kufikiria sijuwi graduation akaacha kuwa mambo ya msingi.Wakina baba huwa mnazingua sana, mnachojua ni kutoa hela tu ila sio kulea kwa upendo.
Nilimtumia baba angu msg whatsApp 'Baba jumamosi ya tar 2_ ni graduation yangu ya chuo' ila hiyo msg haijajibiwa mpaka kesho zaidi ya tick ya blue.
Miezi imepita NINA KINYONGO NAE..!
okBaba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki.
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama mzazi Ana "wish" Ila baba mzazi Ana "say ".
Hakikisha unakaa vizuri na baba yako huyo ndo kila kitu na ndo nguvu yako ya uzima.
Kwa wale ambao baba zao wameshafariki hakikisha unakuwa na ibada maalumu kila mwaka ya kumuombea Baba yako mzazi.
NB: Baraka ni pamoja na kuwa na akili nzuri yenye kujitambua.
Unaweza kupewa baraka kila siku na ukateseka kila siku na mibaraka yako. Karibu kwenye industry ya advanced marginalised community lifeWe siumeona unavyoteseka Mara huku Mara kule no blessings
Una uhakika gani kama huyo unayemwita baba ndiye babako wewe? Mmeanza kutapatapa baada ya visingo maza kuwafungeni magoli kwa kufaulu kuwalea watoto bila kuteteleka!Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.