Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Hiyo haina shida Ila usilipize maana baba ndo mbegu ndo chanzo chakoVipi kaka chanzo kikianza kukataa?
Vipi kaka chanzo kikianza kukataa? Vipi kama chanzo kimesingiziwa na mama lakinj chanzo chako ni kingine?
Wakina baba huwa mnazingua sana, mnachojua ni kutoa hela tu ila sio kulea kwa upendo.
Nilimtumia baba angu msg whatsApp 'Baba jumamosi ya tar 2_ ni graduation yangu ya chuo' ila hiyo msg haijajibiwa mpaka kesho zaidi ya tick ya blue.
Miezi imepita NINA KINYONGO NAE..!
The logical fallacies here areBaba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki .
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama mzazi Ana "wish" Ila baba mzazi Ana "say ".
Hakikisha unakaa vizuri na baba yako huyo ndo kila kitu na ndo nguvu yako ya uzima.
Kwa wale ambao baba zao wameshafariki hakikisha unakuwa na ibada maalumu kila mwaka ya kumuombea Baba yako mzazi.
NB : baraka ni pamoja na kuwa na akili nzuri yenye kujitambua .
We nishakuambia Una akili ndogo na uelewa mdogo wa mambo .The logical fallacies here are
Argument from tradition.
Argument from authority.
Non sequitur.
hakunaga mshindi kwenye vinyongo na visasiWakina baba huwa mnazingua sana, mnachojua ni kutoa hela tu ila sio kulea kwa upendo.
Nilimtumia baba angu msg whatsApp 'Baba jumamosi ya tar 2_ ni graduation yangu ya chuo' ila hiyo msg haijajibiwa mpaka kesho zaidi ya tick ya blue.
Miezi imepita NINA KINYONGO NAE..!
Mwehu huyu
Hakika mkuu , binti anahangaika tu na maisha ya kugombania vocha za burehakunaga mshindi kwenye vinyongo na visasi
hakuna haja ya kumshambulia baki kwenye madaHakika mkuu , binti anahangaika tu na maisha ya kugombania vocha za bure
This logical fallacy is called ad hominem.We nishakuambia Una akili ndogo na uelewa mdogo wa mambo .