Baba yako ndo chanzo chako hivyo ukimkataa lazima ukose baraka

Kama ulimkimbia imekula kwako mkuu,maneno mengi kumbe umekataliwa pewa mtoto.

Baraka kwio.
Cc: Diamond
 
Kama yeye alinikataa, hamna cha baraka wala nini hapo ubaya ubwela tu
 
Bila mayai ya mama hizo mbegu za baba ni takataka tu.

Hazina tofauti na makamasi yanayo tolewa wakati wa kupengwa.

Baraka ni dhana ya kufikirika ya wajinga wanaojipa matumaini uchwara.
 
bila madhara yeyote?
Yapi mkuu,... Nothing is permanent
Watu wamelelewa na wazazi wote wawili tena kwa upendo na bado hakuna liwaendealo vyema,ni shida tupu...
Mwanaume akimbie mtoto Useme huyo mwanaume ana baraka kwa mtoto? 🀣🀣🀣🀣 Wewe...mi nadhani ni mchawi tu atakayeamini hili...
Watu wasitafute excuse....kama walisusa watoto na wamegomewa ukubwani waendelee na maisha yao,wawaache hao watoto na huko kukosa baraka....Kaburi ni la wote.πŸ™
 
Nimo nimo kiasi Kaka sema ndiyo vile hii lugha inataka kujiamini Sana .

Ndiyo maana nikichanganyaga maneno kuntu Kama haya wote wanaishia kuniangalia kwa huruma maana hawaelewi
Wewe mpaka kikaldayo cha kale unakichapa wacha visa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Hii ndio mifano halisi why wanaume tunautofauti mkubwa sana na wanawake.
Hujui huyo baba ako amechukua risk kiasi gani madeni hadi unamaliza chuo, at the end unakuja kumlaumu kwasababu ya birthday sijui graduation inasikitisha
 
Kuna tofauti kubwa kati ya baba na dume.
Je, ni mnamanisha muhusika yupi hapa..?
 
Hii ndio mifano halisi why wanaume tunautofauti mkubwa sana na wanawake.
Hujui huyo baba ako amechukua risk kiasi gani madeni hadi unamaliza chuo, at the end unakuja kumlaumu kwasababu ya birthday sijui graduation inasikitisha
Nyie mnajua kutoa hela hamjui kulea ndio maana tunawapenda sana mama zetu..!
 
Nyie mnajua kutoa hela hamjui kulea ndio maana tunawapenda sana mama zetu..!
Hivi unadhani baba ako angekuwa anakupa huo muda unaohitaji wa birthday, graduation na sherehe za ajabu ajabu angepata wapi muda wa kutafuta pesa za kukusomesha jaribu tu kutumia common sense
 
Ni Sawa mwanaume hawezi kaa kufikiria sijuwi graduation akaacha kuwa mambo ya msingi.
 
ok
ni wapi au lini aliniuliza kama natakuja kwenye hii dunia yake, wakati yeye ni choka mbovu?
 
Una uhakika gani kama huyo unayemwita baba ndiye babako wewe? Mmeanza kutapatapa baada ya visingo maza kuwafungeni magoli kwa kufaulu kuwalea watoto bila kuteteleka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…