Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Hata uanasiasa wenyewe uwe upande ule wa watesi, vinginevyo utalimia meno humo siasani!Tanzania km.sio
Mwanasiasa sio nchi salama ya kuishi
Kwa maelezo ya mtoa mada mi nimemuelewa tu kuwa mzee aliamua kupiga hadi kuua baada ya kutajwa na mambo yasiwe mengi akaamua kupoteza ushahidi, kwanini anunue vitu vya wizi tena wale vibaka eti ukiacha ndala anapita nayo!Usijichukulie sheria mkononi kama wazee wa bao la mkono
Hakika ndivyo ilivokuwaBaba yako alikuwa mfadhili wa matukio ya uhalifu na muuaji.
Amepata hukumu isiyostahili.
Alitakiwa angalau miaka 30, hata hivyo tushukuru Mungu mzee wako ana zali.
Poleni sana.
Usije fanya kitu kama hicho kwenye maiaha yako.