Baba yangu alikaa jela mika 7 kwa kosa la kupiga mwizi

Murder unafungwaje miaka 7?, na huyo Mzee wako nazani akukata rufaa au sio?
 
Ukinunua mali ya wizi bila risiti na wewe mwizi
 
Mwanasheria toka veta
 
soma ksi hii kama unajua kiingereza
 

Attachments

Walio wezi wakubwa ni wanasias...a.
Wanatuibia hadi sent ya mwisho,ila hawaigwi Wala hawafungwi kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…