Asanteni nyooote kwa dua zenu kwa hakika Mungu wetu mwema na ni mwenye kujibu dua za waja wake... Mzee alitoka theator salama hii ilikua baada ya masaa kama mawili ndani ya chumba hiki cha ''mauti'' na leo insha Allah twaweza ruhusiwa kurudi nyumbani... madaktari wameniambia kuwa mzee anaendelea vyema na i can see it..... once again thank you guys.... JF ni kama familia japo kuna wakati tunapishana kauli ila kwenye shida tuko pamoja