Baba yangu ameingia chumba cha upasuaji dua zenu nyote

Mungu atamjalia mkuu atatoka salama

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mungu yu pamoja nae mkuu vipi hali yake kwa sasa ?
 
Muumba wa mbingu na ardhi wewe ndio unajua maombi yetu na shida zetu,tunakuomba umjaalie mgonjwa huyo afanyiwe matibabu na uwajaalie madaktari uwezo wa kumuhudumia aweze pona na kuwa mzima aweze kujumuika na familia yake,Inshaalah
 
Asanteni nyooote kwa dua zenu kwa hakika Mungu wetu mwema na ni mwenye kujibu dua za waja wake... Mzee alitoka theator salama hii ilikua baada ya masaa kama mawili ndani ya chumba hiki cha ''mauti'' na leo insha Allah twaweza ruhusiwa kurudi nyumbani... madaktari wameniambia kuwa mzee anaendelea vyema na i can see it..... once again thank you guys.... JF ni kama familia japo kuna wakati tunapishana kauli ila kwenye shida tuko pamoja
 
pole sana mkuu
 
Kila la heri ....Ujue ndugu yetu unapokumbukwa na Mz/Mungu na Mkashukuru kwa hali zote huwepo ajrr/thawabu kwenu, Ikifuatiwa na heri nyingi.
Poleni na muuguze kwa amani na upole.
 
Back
Top Bottom