Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

 
Are u serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nahisi unazinguaga wewe
 
Mkuu WEWE SIO MTOTO ni MZEE wa miaka 42.
Hela ya baba yako ni yake nawe huna haki HATA KIDOGO.
Katafute maisha na utafute hela yako, ujenge halafu ukiuza na wewe mtoto wako akupeleke mahakamani kwa kuuza jasho lako!!
 
Tafuta bwana uolewe acha kukaa kwa wazazi mpaka unafukuzwa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama ni kweli, Wewe ni mtoto Mpumbavu unastahili hayo unayopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…