Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Weweeee mchokozi sana Mtende ila mimi sipigi picha wala sitaki kupigwa picha nikiwa busy nakula mahindi ya kuchoma
[emoji23][emoji23][emoji23] piga picha utuwekee hapa jamnvini
 
Reactions: BAK
38 yrs unanyoa nywele za juu na chini kwa baba yako.
Unagegeda mabinti bila Aibu

Kada sijui wa ssem.

Acha ujinga chama hakihitaji wazembe kalime hata mbogamboga

Ooh Baba amekuwa na MATUSI nani kakuambia kuwa ukiwa Kambi ile unakosa Matusi? Pingapinga Fc kama wamemsajili tegemeeni Matusi si unaona hata ma top wao.

Mama apewe talaka. Utamtimizia mahitaji yake yote?
 
Life expectancy. AFRICA.
54-65yrs.
(38-54=-16)
Haya pambania kombe la lako na la Mama yako kabla hujakata moto baada ya miaka16.
Ni hapo mbele 2036 sio mbali kiivyo
Kufa maskini mpk hapo kumekuganda kwa 70%.
 
Kijana shtuka usingizini aisee,, mambo ya siasa unaleta kwenye mji wa mtu we tafuta mji wako alafu ikiwezekana anzisha chama chako kishirikiane na icho chama unachokishobokea alafu tuone kama kuna mtu atakusumbua
 
Kweli wewe ni kada wa chama cha wapumbavu,38yrz unajisifu unakaa hom
 
yaani baba ako kama ana bunduki ilipaswa akutandike wewe na mama ako risasi
 
Baba yako hana tabia ya ajabu,wewe ndo unatabia za ajabu,umri huo bado upo nyumbani badala ya kuwa na familia yako,
 
Mkuu hiyo degree uliipateje hivi vyuo navyo vijitathimini kwa kutoa mali na kupeleka jalalani badala ya kuwapa watu. approximately miaka 40 unaleta uzi wa hovyo namna hii?? Tena unataka kuwaachanisha wazazi wako sababu ya ujinga na upuuzi !!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…